Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Serikali imemficha Mahabusu hadi tarehe 20 Feb, kukwepa Mkono wa Umma!

Waziri yupo sahihi kunsimamisha kwa kosa la uchochezi na kukosa Maadili

Mtumishi wa namna yake hawezo kuwa Muadilifu hasa ikitokea anapaswa kumpa haki Muislam dhidi ya asie Muislam

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hakuna anayetaja kifungu cha sheria kinachompa madaraka waziri kufanya aliyoyafanya... Wengi mmetumia hisia tu za kidini na kiimani....
 
Hakuna sheria inayomuweka hatiani atatoka ila ajifunnze kuheshimu (demokrasia) utamaduni wa wenzake asiwe na akili ya ki CCM anataka anachokipenda kila mtu apende
 
Naomba niulize hivi, hicho kitabu kinauzwa Dukani?
Je kama kinauzwa nani kakinunua?

Maana kama kakinunua mwenyewe na amekichana mwenyewe hana kosa maana ni maali yake, isipokua kama kachukua cha mtu mwenye kitabu ndio mwenye haki ya kuchukua hatua za kisheria au kusamehe


Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio upo sahihi 100%

Otherwise sheria iwe na lake.
 
Kwenye huo umma, kuna wasioamini kinachoaminiwa na wengine kiimani
OKEY KWANINI UFANYE KILE KINACHOWEZA KULETA TAHARUKI KATIKA SEHEMU YA UMMA UNAOUNGOZA? HUONI HII SINTOFAHAMU INAWEZA LETA UTENGANO NA CHUKI?
HAPA TUNAWEZA CHUKUA MFANO WA HUKUMU ILIYOTOLEWA BRAZIL ZIDI YA FILAMU YA USODOMA ALIOFANYA YESU. SI WOTE WAAMINIO KATIKA KRISTO HIVYO WENGINE WANAMUONA YESU KAMA MR BEAN TU
 
Back
Top Bottom