Aaah sist, hapo unakosea, hii statemnt sio nzuri.Wakristo akili zenu zinawatosha wenyewe. Mnakanyagana na kuuana kama ng'ombe kisa mafuta. Kufungwa huyu aliechana Qur'an imewauma zaidi kuliko yule alisababisha vifo vya watu kuachiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,,mwishoe nitakutukana tusi baya ujue! Nimishakuambia usiifananishe Quran na vijitabu vyenu, au Bible yenu..cjui kama umenipata
Ndiyo maana nikakuomba uonyeshe huo mstari unaoonyesha mimi kutetea huyo jamaa alifanya hivyo. Hebu fikiri kuhusu hili, inadaiwa huyomtu alikuwa anabishana na watu kablaya kuchana hicho kitabu. Kwa namna yoyote ile ni lazima alikuwa anabishana na watu wanaoamini kitabu hicho na wakaamua kukubaliana kuwa afanye hivyo ili wathibitishe matokeo ambayo walikuwa wanabishana kuyahusu. Hapo utaona huyo mchanaji na aliokuwa anabishana nao wote ni wapuuzi. Dini si mbaya ila ulevi wake.Sasa kama hafurahishwi na hicho kitendo mbona unamtetea alie fanya hicho kitendo cha kijinga?
Ndiyo maana nimesema hili suala ni sawa na lile la Nabii Tito,kote kumetumika maamuzi ya hisia za kidini.Ni kweli, lakini waziri katumia kifungu kipi cha sheria?
Nasubiri kama kuna kifungu cha sheria kinasema kuchana kitabu cha dini kosa
Huwezi kulinganisha watu wanaokanyagana makka na hao wanaokanyagana kisa mafuta ya nabii feki. Pure nonesenseAaah sist, hapo unakosea, hii statemnt sio nzuri.
Maana huko kukanyagana hata watu wakienda kuhij hufa sana na kukanyagana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utasikiaje bila kusikiliza? Eti duniani!! Kumbe dunia yako ndogo hivyo!!
Unachanganya kwa mifano isiyoendana fedha na bendera ya taifa ni alama za taifa, sheria inasema hivyo ukichana au kudhalilisha ni kosa kisheria. Hii ni kwamujibu wa civics tuliyofundishwa form one.
Sasa vitabu vya dini na vingine vyote havina sheria inayolazimisha mtu avitunze kikubwa asichafue mazingira akiwa anavichoma au kuvichana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hapo sasaKitu cha kujifunza ni kwamba binadamu ni wajinga,hawajitambui na ni wanafiki! Kama Mungu yupo si ajitetee mwenyewe? Kwa nini watu/serekali inamtetea Mungu? Kama mtu kachana kitabu kitakatifu kilichoshuka kutoka mbinguni si waache Mungu amuadhibu jamaa!
Maisha yako yote unayoishi na unayoyafanya ndivyo ulivyofundishwa? Mtu akileta upuuzi kumzindua si vibaya.
Naona hakuna anayetaja kifungu cha sheria kinachompa madaraka waziri kufanya aliyoyafanya... Wengi mmetumia hisia tu za kidini na kiimani....
Kwa kifungu kipi cha sheria?
Mbona hakuchukuliwa nabii tito kuwa ni mpuuzi?Mimi naamini ingechanwa biblia wala hakuna ambae angemind, coz zipo nakala kibao.
Sema wafuasi wa dini ya munyazi mungu wana shida sana.
Wakristo wangechukulia huyo ni mpuuzi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp korea kaskazini kimewakuta kitu gani!?Uliza China kilichowakuta
Corona imegundulika 1960sCorona haijaanza leo kutokea china, mataahira wengi huhusisha corona na mambo ya kijinga ila ukweli ni kua sio mara ya kwanza kutokea.
Mbona haitokei marekani kila siku anawanajisi quran na hakuna kinachowatokea.