mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
kifupi waziri kaingia mzima mzima bila kushika pembeni kujilinda.Vip wale walio hubiri uchomaji makanisa, na wakatekeleza??
Na wale wanao hubiri baadhi ya watu waueliwe tena viongozi??
Vipi na wale wanahubiri hadhalani kuwa jamiii fulani au watu wa dini fulan wauliwe, wanakamatwa??
Wale ambao wana lazimisha dini nyingine zifate dini yao kipindi chao kama mfungo, na ukikutw unakula msimu huo unafanyiwa vurugu, unapigwa vipi wali kamatwa?
WATU WAACHE DOUBLE STANDARD.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app