Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Great sinker

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima mtu uwe na dini kuheshimu dini za wengine. Fid Q alisema, "kama unaabudu punda nitakuletea majani." There's more to that sentence.
 
Sio lazima mtu uwe na dini kuheshimu dini za wengine. Fid Q alisema, "kama unaabudu punda nitakuletea majani." There's more to that sentence.
 
Anabahati yake uyo....Asingechukuliwa na polisi angekufa kweli,,,wangemkuta mtaroni kesho yake,,
 
Kwanini wamemshupalia hivyo imekuw topic ya nchi nzima badala ya kujadilimambo ya msingi kama TUME HURU YA UCHAGUZI na mengineyo..
Kwani huko kilosa nakala ilibaki hiyo moja tu?
Mimi nadhani wangempa nanyinginezo achane ili moyo wake utulie alafu zikanunuliwe nyingine.
I stand to be corrected.
 
Kunywa soda mahali ulipo mazee..umeongea kweli tupu ila walevi Wa dini humu wanamzodoa mlevi mwenzao Wa pombe na mpuuzi Wa kukosa ustaarabu na uvumilivu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ukisema unaonekana wewe ni mdhambi sana, imani ni kitu cha kuwa nacho makini. Sisi ni hawahawa tu, jambo lamsingi ni kuheshimiana na kuvumiliana.
 
Sio lazima mtu uwe na dini kuheshimu dini za wengine. Fid Q alisema, "kama unaabudu punda nitakuletea majani." There's more to that sentence.
ila kosa linaanzia kwa huyo muislam aliyemuambia huyo mlevi akiichana quran anakufa...kwasababu kumuambia hivo ni kama alimpa challenge ya kuprove uwepo wa Allah nayeye mlevi kama mwanasayansi ikabidi afanye experiment lakini nashangaa tena unakuta huyohuyo muislam aliyempa challenge nayeye akamgeuka baadae.

Ni kama ile challenge waislam waliizushaga mtandaon kwamba fanya ufanyavo hata iweje paka hawezi kukanyaga Qur'an.. Tena zikatrend sana hata YouTube clips kuwa paka hata uweke nyama juu ya Qur'an hawezi kuikanyaga...wakaja watu wengi wasio waislam na clip zao na paka zao na quran ili kuiprove hiyo theory...lakini kama ulivohisi tu wale paka waliikanyaga quran,wakailalia quran kwa juu,wakaichanachana quran,wakanya juu ya quran..
Sasa kimbembe kikaja hapo waislam haohao walioanzisha hiyo challenge waka'raise inakuwaje hawa wakristo wanawapa paka aikanyage Qur'an imekuwa kama dharau na shambulio la kidini.
Wakati root cause ni wao wenyewe.
 
Mambo makuu kadhaa yanawaunganisha na kuwatenganisha watanzania nyakati zote na itafika wakati wanaweza chagua kuukataa utanzania wao ni vile tu hajatokea Wa kuwahoji kiuhuru. Ukitaka kuujua unafiki wetu upo kwenye haya mambo na hatuangalii facts tunaangalia mahaba yetu kwenye yanayotujenga kwa mgawanyo ufuatao;

1. DINI, hapa watanzania wako tayari kuungana wakitetea lolote linalohusu dini zao na hakika wanasahau kabisa tofauti zao za kichama, itikadi na makabila na mapenzi ya mpira. Hapa utawajua waislam na wakristo hata kama kwenye siasa hupishana ila wakiwa dini moja lazima watetee lililo jema au baya kuilinda dini yao husika. Hapa napo wanagawanyika ikija mijadala ya kimadhehebu lazima wapoteane hata kama wote wanatumia kitabu kimoja kisha mengine hufuata

2. SIASA.. hapa wanasahau dini zao wanakomalia vyama vyao kwa umoja kabisa hata uovu wa hivyo vyama hutetewa kwa nguvu zote. Ulitaka kuwapoteza lete hoja za kidini hiyo siku chama tawala na upinzani wataungana kwenye hoja. U great thinker na fikra huru haupo tena kikubwa chama cha siasa na viongozi wake..

3. SOKA
Ushabiki Wa soka la ndani pia huwagawanya kwa misingi ya simba na yanga
Hapa ni rahisi sana kumkuta tundu lissu na magufuli jukwaa moja wakishangilia yanga timu yao mathalani.
Watasahau yote ya dini na siasa.

4. UKANDA NA UKABILA SPECIAL
Hapa kuna kanda na makabila yale special yanayojiona ni cream ya taifa yaani yakianzisha ligi humu utadhani makabila mengine na kanda zingine za nchi ni wakimbizi.

NOTE: UKITAFAKARI KWA KINA KABISA KWA NAFSI HURU BILA UNAFIKI SINA HAKIKA KAMA CHANGAMOTO ZA NCHI HII ZINATATULIKA KWA KUKOMALIA HAYO BADALA YA UHURU WA FIKRA ZA UTAIFA WA KWELI. CHANGAMOTO ZA TAIFA HILI HUWAPATA WATU WOTE BILA KUJALI ITIKADI ZAO ZA KICHAMA, KIDINI, KIKABILA NA KISOKA, HIVYO BASI NAFSI HURU ZENYE KUTAFAKARI KWA KINA ZINGEZINGATIWA KATIKA KILA HOJA ZINAZOJENGWA KULIKOMBOA TAIFA.
SINA HAKIKA KAMA IDADI KUBWA YA WATU WALIOPATA MANUFAA MAKUBWA KWA NYANJA ZOTE KWAKUWA WAMEKUWA WA DINI FULANI BALI MAJANGA YALIYOPO YANAWAATHIRI WANANCHI WOTE KWA NAFASI ZAO UKIWATOA WALA KEKI YA TAIFA KWA RAHA ZAO WAKIJITAPA HADHARANI WAKINA BASHITE..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule wa Morogoro aliyesema Yesu si Mungu mahakama ilimwachia. Nadhani na huyu naye itakuwa ivo ivo!!
Haiwezi kumwachia , yule kasema( kaandika) kutokana imani yake anaweza akatoa reference lakini yy kaichana Quran ,sijui Ana reference gani
 

Naelewe where you're coming from, mambo mengine kama hiyo challenge ni ya kupuuzia tu.
 

SERIKALI haina DINI mambo yenu ya dini mkayafanyie nje. Waziri yupo sahihi.
 
Mtu akishakuwa mlevi wa Dini tayari hakuna mtu hapo. Anaendeshwa kama roboti tu na waliotia mfukoni akili yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…