Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Kosa kulingana na kifungu kipi cha sheria za nchi?
Mkuu..kuwa mchawi au vitendo vinavyoashiria uchawi/ushirikiana, ni kosa"
Pia hata kumiliki zana zinazosadikiwa kuwa ni za kichawi.
Mkuu haya mambo yanayohusu imani za jamii flan ni sensetive!
Yasipotendwa ki uhaki wake yataigharimu serekali. Hakichelewi kunuka!

Sent using Redmi Y2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifunzeni kujua mambo na kuwa na wivu wa kutaka kujua jambo, mpaka umewekewa tangazo la RPC na kosa hilo ni la jinai na ukiwa mtumishi wa serikali lazima usimamishwe kaz hasa inapotokea umefikishwa mahakamani.
Hii ni mihemko isiyokuwa na maana ktk utumishi wa umma. Amemsimamisha kazi kwa kutumia kifungu kipi cha sheria za kazi? Kuna mahali pameandikwa kuwa mtumishi wa umma akichana kohorani asimamishwe kazi? Aache hizo. Analogia Malenga,

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuguswa na muislamu yoyote.Hapo ndio ujuwe Qur'an,imefanyakazi yake,huko kuchana hicho kitabu hadharani ni dalili ya kuwa,alishafanya mafichoni,sasa Qur'an imemtoa hadharani,aonekane na wengi,anayoyafanya mafichoni.
Kama kichwa cha habari kinavysomeka hapo juu

Nimetizama video ya yule kijana mchana Quran nilichogundua ni kuwa huyu jamaa alikuwa kalewa na hata hajielewi

Na hapo awali walibishana kama atachana Quran bas atakufa hapo hapo

Cha ajabu hajafa

Cha ajabu Quran imeshindwa kujitetea yenyewe hadi imetetewa na waziri

Lakin nafikiri huyu jamaa Endapo angechana BIBLE angepuuzwa tu

Na angepambana na kristo mwenyewe wala siyo na waziri

Maana BIBLE inajitetea yenyewe wala siyo na wanadam

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima mtu uwe na dini kuheshimu dini za wengine. Fid Q alisema, "kama unaabudu punda nitakuletea majani." There's more to that sentence.
Fid Q ni scholar wa kusema una fanyia In text citation maneno yake kwenye comment yako?

ELIMU YA MTAA SIO SIFA UJUMBE TAALUMA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nayo ni kauli ya chuki!Wao akina nani?Kitendo hicho kimefanywa na mtu mpuuzi mmoja tu,ambaye ni msomi wa kiwango cha degrii.Elimu wala haijampa ukombozi wowote zaidi ya ajira

Mtu huyo hata ukimpima kwenye ukristo hafai kabisa.

Kitendo cha wewe kuanza kuwajumuisha watu wengine kwa kujiapiza iko siku ni kuonesha huna tofauti na huyo aliyechana kitabu cha imani yako.

Binafsi nalaani sana kitendo hicho cha kishenzi na anastahili kuadhibiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
WATU WASOMI NDIO HUFANYA MAMBO YA HOVYO SANA...
 
Huyo mchana Qur'an,amesumbuliwa na nani,na ametaka ajisumbuwe mwenywe,nguvu aliyotumia kuchana Qur'an,angeitumia kulima,yasingemfika hayo.
Mimi Nashangaa kwani hapo kilosa hakuna copy nyingine ya hiyo quran?
Hadi wamsumbue huyo mtu ambae anamasikitiko na majuto kibao ya kuja duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amesema, Hiyo kuran sio kitu chochote kwake na kama huyo mungu wenu ana uwezo wowote, ampasue basi hata jicho moja. I think he has a point there. Kwa nini tumtetee muumba?? Si alimuumba pia huyu kichaa?? Kwa nini basi asimpasue hata jicho moja tujue kuwa HACHEZEWI?
Jafo, kumfukuza kazi ni upuuzi pia. Amwache muumba wake amshughulikie. Asipo mshughulikia basi huyo naye ni useless
Ndo tayari sasa keshasimamishwa kazi na yupo mahabusu kesi tarehe 20 apigwe miaka yake ajifunze adabu. Kama mmechukia sana andamaneni mumsaidie.wapumbavu wakubwa nyie.
 
Back
Top Bottom