Sio lazima mtu uwe na dini kuheshimu dini za wengine. Fid Q alisema, "kama unaabudu punda nitakuletea majani." There's more to that sentence.
Mkuu..kuwa mchawi au vitendo vinavyoashiria uchawi/ushirikiana, ni kosa"
Pia hata kumiliki zana zinazosadikiwa kuwa ni za kichawi.
Mkuu haya mambo yanayohusu imani za jamii flan ni sensetive!
Yasipotendwa ki uhaki wake yataigharimu serekali. Hakichelewi kunuka!
Sent using Redmi Y2
Hii Mkuu Uliamini Kila Jambo Mengine Changamsha GengeNilikuwa nasikia ukichana hio unakuwa chizi, kumbe fix tu!
Nyinyi hamna akili na ndio chanzo cha maovuWakristo akili zenu zinawatosha wenyewe. Mnakanyagana na kuuana kama ng'ombe kisa mafuta. Kufungwa huyu aliechana Qur'an imewauma zaidi kuliko yule alisababisha vifo vya watu kuachiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo bahati, wote mabwege pamoja na wale wanaojiita Masheikh waliojifanya wanaijua sana dini na wapo jela miaka 8, muendelee kijifanya mna msimamo mkali muone, hii nchi siyo ya kiislamAna bahati alikuwa amezungukwa na mabwege wakati akifanya upuuzi wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
kosa linaanzia kwa aliyempa.Mimi Nashangaa kwani hapo kilosa hakuna copy nyingine ya hiyo quran?
Hadi wamsumbue huyo mtu ambae anamasikitiko na majuto kibao ya kuja duniani.
Hii ni mihemko isiyokuwa na maana ktk utumishi wa umma. Amemsimamisha kazi kwa kutumia kifungu kipi cha sheria za kazi? Kuna mahali pameandikwa kuwa mtumishi wa umma akichana kohorani asimamishwe kazi? Aache hizo. Analogia Malenga,
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona shetani hafi? au wanampigaga kishoga?Bora wakristo wamekufa 20 tuu huko maka mnakoendaga kumpiga mawe shetani mnakufa ma elfu kwa maelfu.. hatusemi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kichwa cha habari kinavysomeka hapo juu
Nimetizama video ya yule kijana mchana Quran nilichogundua ni kuwa huyu jamaa alikuwa kalewa na hata hajielewi
Na hapo awali walibishana kama atachana Quran bas atakufa hapo hapo
Cha ajabu hajafa
Cha ajabu Quran imeshindwa kujitetea yenyewe hadi imetetewa na waziri
Lakin nafikiri huyu jamaa Endapo angechana BIBLE angepuuzwa tu
Na angepambana na kristo mwenyewe wala siyo na waziri
Maana BIBLE inajitetea yenyewe wala siyo na wanadam
Sent using Jamii Forums mobile app
Orodhesha tofauti zao ukiacha ukiacha mmoja kufa akigombea kukanyaga na mwingine anakufa akilizunguka jiwe?Huwezi kulinganisha watu wanaokanyagana makka na hao wanaokanyagana kisa mafuta ya nabii feki. Pure nonesense
Sent using Jamii Forums mobile app
Fid Q ni scholar wa kusema una fanyia In text citation maneno yake kwenye comment yako?Sio lazima mtu uwe na dini kuheshimu dini za wengine. Fid Q alisema, "kama unaabudu punda nitakuletea majani." There's more to that sentence.
tito amefungwa gereza gani ndezi wewe!!Huna akili ww mbona nabii Tito hamkumuacha
Kwa nn hua mnapenda choko choko
Sent using Jamii Forums mobile app
WATU WASOMI NDIO HUFANYA MAMBO YA HOVYO SANA...Hii nayo ni kauli ya chuki!Wao akina nani?Kitendo hicho kimefanywa na mtu mpuuzi mmoja tu,ambaye ni msomi wa kiwango cha degrii.Elimu wala haijampa ukombozi wowote zaidi ya ajira
Mtu huyo hata ukimpima kwenye ukristo hafai kabisa.
Kitendo cha wewe kuanza kuwajumuisha watu wengine kwa kujiapiza iko siku ni kuonesha huna tofauti na huyo aliyechana kitabu cha imani yako.
Binafsi nalaani sana kitendo hicho cha kishenzi na anastahili kuadhibiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakristo ndio wanaosema dunua Kwa kilakitu maguvu ya kijeshi. Elimu. Usafiri. NkWakristo akili zenu zinawatosha wenyewe. Mnakanyagana na kuuana kama ng'ombe kisa mafuta. Kufungwa huyu aliechana Qur'an imewauma zaidi kuliko yule alisababisha vifo vya watu kuachiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Nashangaa kwani hapo kilosa hakuna copy nyingine ya hiyo quran?
Hadi wamsumbue huyo mtu ambae anamasikitiko na majuto kibao ya kuja duniani.
Ndo tayari sasa keshasimamishwa kazi na yupo mahabusu kesi tarehe 20 apigwe miaka yake ajifunze adabu. Kama mmechukia sana andamaneni mumsaidie.wapumbavu wakubwa nyie.Amesema, Hiyo kuran sio kitu chochote kwake na kama huyo mungu wenu ana uwezo wowote, ampasue basi hata jicho moja. I think he has a point there. Kwa nini tumtetee muumba?? Si alimuumba pia huyu kichaa?? Kwa nini basi asimpasue hata jicho moja tujue kuwa HACHEZEWI?
Jafo, kumfukuza kazi ni upuuzi pia. Amwache muumba wake amshughulikie. Asipo mshughulikia basi huyo naye ni useless