Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Kama huyo Mungu hana uwezo wa kujitetea hadi kitabu cha maagizo yake kichanwe huku amekaa kimyaaa, halafu Jafo ambaye hakuwepo ndio amfukuze kazi na bado mahakama imhukumu kifungo!! Nadhani huyo ni mungu katili sana anayeruhusu mtu kuadhibiwa mara 2 kwa kosa moja. Sio haki.
Mungu wako ahukumu kwa haki. Kwa nini asimpasue hilo domo lake au aukate huo mguu hata kwa ajali au huo mkono ulemae?? Tungeogopa kukichezea hicho kitabu kitukufu
Ndio hivyo sasa maneno hayasaidii nenda kamsaidie huyo mlevi mwenzio huko mahakamani.
 
Kama huyo Mungu hana uwezo wa kujitetea hadi kitabu cha maagizo yake kichanwe huku amekaa kimyaaa, halafu Jafo ambaye hakuwepo ndio amfukuze kazi na bado mahakama imhukumu kifungo!! Nadhani huyo ni mungu katili sana anayeruhusu mtu kuadhibiwa mara 2 kwa kosa moja. Sio haki.
Mungu wako ahukumu kwa haki. Kwa nini asimpasue hilo domo lake au aukate huo mguu hata kwa ajali au huo mkono ulemae?? Tungeogopa kukichezea hicho kitabu kitukufu
Mungu ana njia nyingi za kuadhibu, alipigwa yesu na msalabani akatundikwa kwanini Mungu hakumtetea?
 
Kiukweli hata mimi nilivyokuwa mdogo hata kuigusa tu nilikuwa naiogopa.
Tuliambiwa ukiichana tu papo hapo unakuwa chizi au unakufa ndio maana nikaiona kama kitu hatari.

Inabidi watu waelimishwe tu kuwa kiheshimiwe tu kama kitabu cha Imani ya waislam, hawana haja ya kujaribu. Ila nadhani waislam wanavyoikuza na kuongezea vitisho ambavyo sio halisi.

Watu wafundishwe kuchana Quran ni uchizi sio ukichana Quran utakufa au utakuwa mwehu Mara tu baada ya kuchana.
Na hata waislam hatufundishwi kuwa kuichana qur an unakuwa chizi, hayo ni mafundisho yasiyo sahihi ambayo wakristo mnayo, ndio maana hata mtu anaweza kuwaambia mkikanyaga mafuta mnabarikiwa na nyie mnakubali,
 
Muache asimamishwe tu hiyo kazi, ikiwezekana afutwe kabisa.
Jitu zima kuanza kuchana maandiko ya Mungu.
Mimi si muislamu ila hiki kitendo kimeniumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi ni muislam lakini naamini yule jamaa hayuko timamu kichwani, nakubali asimamishwe kazi lakini si kutiwa ndani apelekwe hoslitali
 
Na hata waislam hatufundishwi kuwa kuichana qur an unakuwa chizi, hayo ni mafundisho yasiyo sahihi ambayo wakristo mnayo, ndio maana hata mtu anaweza kuwaambia mkikanyaga mafuta mnabarikiwa na nyie mnakubali,
Mkuu hizo mikwara huwa inapigwa na waislam.
Kumbuka zile vurugu mbagala waislam wakiiba na kuvamia makanisa.

Ulianza ubishi wa watoto Mmoja mkristo anapigwa mikwara kuwa akikanyaga /kojolea Quran atakuwa chizi, dogo anawaambia haiwezekani. Akafanya yake waislam wakajibu Kwa fujo.

Kuna mambo mengi waislam hasa wasio na ilimu wanapaswa wasaidiwe, ikiwemo na albadri
 
Vipi kuhusu wakristo hawana mambo mengi ya kusaidiwa? Maana wayafanya yanasikitisha pia, nikupe aya kwenye qur an inayokataza albadir?
 
Hivi yule jamaa chuki aliyoionesha dhidi ya kitabu cha waislam unadhani ataweza kuwahudumia vizuri waislam watakaoenda kupata huduma yake kwenye hiyo ofisi ya umma?
Kwanini asiwahudumie vzr? Ila anatakiwa aondolewe hapo wasije mdhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
IMG-20200209-WA0002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu wakristo hawana mambo mengi ya kusaidiwa? Maana wayafanya yanasikitisha pia, nikupe aya kwenye qur an inayokataza albadir?
Nipe aya mkuu.
Wakristo wenda wanakosea zaidi. Hasa wasiosoma bibilia
 
Back
Top Bottom