Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Huko kuchana kwenyewe ndio uchizi,wewe wataka uchizi upi,kichaa ndiye anayechana makaratasi ovyo..Mwenye akili sawa sawa,hawezi kuchana karatasi ovyo ila mkichaa,anaweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli hata mimi nilivyokuwa mdogo hata kuigusa tu nilikuwa naiogopa.
Tuliambiwa ukiichana tu papo hapo unakuwa chizi au unakufa ndio maana nikaiona kama kitu hatari.

Inabidi watu waelimishwe tu kuwa kiheshimiwe tu kama kitabu cha Imani ya waislam, hawana haja ya kujaribu. Ila nadhani waislam wanavyoikuza na kuongezea vitisho ambavyo sio halisi.

Watu wafundishwe kuchana Quran ni uchizi sio ukichana Quran utakufa au utakuwa mwehu Mara tu baada ya kuchana.
 
Nadhani ilikusudia kwamba kwakua Qur'an ni kitabu cha Mwenyezi Mungu basihatofurahishwa na kitendo cha kuharibu neno lake ( which is true) kwahivyo kwa wenye imani bado tunamini kuharibu vitabu vitakatifu utapatwa na madhara.
Umeandika vzr
 
Huko kuichana ni uchizi wenyewe,mwenye akili sawsawa,hawezi kuchana makaratasi ya aina yoyote.Kwanza huyu pia anakosa la kuchafua mazingira.Hata kama asingechana Qur'an angechana makaratasi ya aina yoyote,tayari,ni mchafuzi wa mazingira,ni kosa kisheria kuchafua mazingira.
Kiukweli hata mimi nilivyokuwa mdogo hata kuigusa tu nilikuwa naiogopa.
Tuliambiwa ukiichana tu papo hapo unakuwa chizi au unakufa ndio maana nikaiona kama kitu hatari.

Inabidi watu waelimishwe tu kuwa kiheshimiwe tu kama kitabu cha Imani ya waislam, hawana haja ya kujaribu. Ila nadhani waislam wanavyoikuza na kuongezea vitisho ambavyo sio halisi.

Watu wafundishwe kuchana Quran ni uchizi sio ukichana Quran utakufa au utakuwa mwehu Mara tu baada ya kuchana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kutishwa wewe chanya,hadharani.Wafikiri waislamu wajinga kutochana Biblia,wanajuwa kama ni kosa kisheria kufanya hivyo,ndio hutasikia kuna muislamu kachana Biblia.Kwenye nyumba za waislamu,zipo Biblia lakini zimehifadhiwa vizuri.Halafu lazima ujuwe familia nyingi za Tanzania,wamechanganyika,wapo wakristo na wapo waislamu..
Mtawatisha watumishi wa Uma sio sisi wauza magenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kutishwa wewe chanya,hadharani.Wafikiri waislamu wajinga kutochana Biblia,wanajuwa kama ni kosa kisheria kufanya hivyo,ndio hutasikia kuna muislamu kachana Biblia.Kwenye nyumba za waislamu,zipo Biblia lakini zimehifadhiwa vizuri.Halafu lazima ujuwe familia nyingi za Tanzania,wamechanganyika,wapo wakristo na wapo waislamu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hadharani wapi wakati tunachana kila siku ata kule china zilichanwa hadharani acheni kelele nyinyi
 
Unaposimamishwa lazima uwe umekiuka taratibu fulani za kazi. Sasa je hapo tujiulize yeye alikiuka taratibu ipi ya kazi. Yeye alistahili kukamatwa kwa kudharau dini ya wenzake na kuhatarisha amani na usalama .
Chief ngoja tusubiri, maana tusijeongea tukaingiza ya uongo na kweli. Tusubiri serikali itasemaje juu ya hili.

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
Chief ngoja tusubiri, maana tusijeongea tukaingiza ya uongo na kweli. Tusubiri serikali itasemaje juu ya hili.

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Kama mwaposa mkutano wake umeua watu 14 na yuko nje kwa dhamana,basi hata kesi ya huyu chalii sio kubwa maana hata kuua yeye hajaua.

dodge
 
Kama mwaposa mkutano wake umeua watu 14 na yuko nje kwa dhamana,basi hata kesi ya huyu chalii sio kubwa maana hata kuua yeye hajaua.

dodge
Chief tukutane uzi pendwa kule, hawa wanaopost hizi wanatuhamisha "Nyumba choo"
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

Hahah daah nimecheka kichizi sikutegemea comment hii,ngoja nikamcheki Mrangi/Anasbo amepost nini kule mzee baba.

dodge
 
Mambo yameanzia kwenye QUR'AN , nchi hii haina Dini , kuna sheria yeyote mtu akichana QURAN adhabu yake imeandikwa katika katiba ya nchi hii ?
Hii nchi dini zipo mkuu hakuna nchi ambayo hakuna dini. Halafu mkuu una tatizo unashindwa kuelewa kwamba wewe kutokuwa muumini wa dini au hata Mungu huo msimamo wako hivyo haukufanyi wewe kuwa akili kuliko wenye misimamo tofauti na wewe kwahiyo haina haja ya kutumia nguvu zako kuonesha wanaoamini dini ni kama wapumbavu tu na wewe ndio uko sahihi.

Wewe kama unachana Qur'an we chana tu haina haja ya kubishana jambo wala hakuna wa kukusifu hapa.
 
Unalalamika nini wakati Mungu mwenyewe katulia huko ebu acha kiherehere
 
Chana wewe,usisemee wenzako.China wameonja joto ya jiwe.Na China walichana Biblia pia,waulize yanayowapata.Kitabu chochote cha dini usichane,sio Qur'an tu,hata Biblia,hata Gita cha wahindu nk..

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kule walipokufa watu kwa Ebola walichana nini ? mnapenda kujiaminisha ujinga sana halafu unafikir ule ugonjwa unaangalia mtu ukijichanganya unao haubagui dini ahahahaha, ndio maana limekuwa janga la dunia na umesambaa kuhusu kuchana si umeona ata mtumishi kachana halafu yuko powah tu mlichofanikiwa ni kumpeleka Polisi tu
 
Ndo tayari sasa keshasimamishwa kazi na yupo mahabusu kesi tarehe 20 apigwe miaka yake ajifunze adabu. Kama mmechukia sana andamaneni mumsaidie.wapumbavu wakubwa nyie.
Kama huyo Mungu hana uwezo wa kujitetea hadi kitabu cha maagizo yake kichanwe huku amekaa kimyaaa, halafu Jafo ambaye hakuwepo ndio amfukuze kazi na bado mahakama imhukumu kifungo!! Nadhani huyo ni mungu katili sana anayeruhusu mtu kuadhibiwa mara 2 kwa kosa moja. Sio haki.
Mungu wako ahukumu kwa haki. Kwa nini asimpasue hilo domo lake au aukate huo mguu hata kwa ajali au huo mkono ulemae?? Tungeogopa kukichezea hicho kitabu kitukufu
 
tena wfungwa wengi wapo gerezani kwasababu ya wizi mda mwingine wa kuku kwani kuku hawapo wengine.hawa makafir hawajielewi
Kwenye ile video yule jamaa alikua anasema eti
anakiona kile kitabu kama ma.vi tu
 
Back
Top Bottom