Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,366
Wajaribu waoneUGAIDI ni jadi yenu, mna siku nyingi hamjafanya UGAIDI, sasa mmepata sababu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajaribu waoneUGAIDI ni jadi yenu, mna siku nyingi hamjafanya UGAIDI, sasa mmepata sababu.
Ondoa shaka, jibu hili alafu uulize hilo swali lako..Sema tu tunamuamini mtume Issa/Yesu,ila nilitaka niuulize swali la kipuuzi kama ulilo uliza lako.
Mimi naona wangempotezea tu kwani hamna nakala nyingine za hiko kitabu hapo kilosa?
Yesu ndiyo kawaagiza mchane Quraan?Mngemfanya nini?
Qur'an ndio imewaagiza muwaue watu wachomao Quran?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaposimamishwa lazima uwe umekiuka taratibu fulani za kazi. Sasa je hapo tujiulize yeye alikiuka taratibu ipi ya kazi. Yeye alistahili kukamatwa kwa kudharau dini ya wenzake na kuhatarisha amani na usalama .Hivi chief kwani amefukuzwa au amesamishwa? Ninavyoelewa kusimamishwa kuna uwezekano wa kuachishwa au kurejeshwa kazini.
Kusimamishwa sio kuachishwa
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Nguvu kubwa kupelekwa polisi na kuwekwa chini ya ulinzi kwa usalama wake? Au kuna sababu nyingine zaidi ya hiyo imetolewa?
Na mimi nakwambia unachoona cha maana kwako kwa wengine ni upumbavu , tusilazimishaneHoja yangu ni kwamba kuna sheria ambazo zinatuzuia kufanya lolote tu tujisikialo kufanya hakuna mtu mwenye uhuru wa kufanya lolote tu.
UGAIDI ni jadi yenu, mna siku nyingi hamjafanya UGAIDI, sasa mmepata sababu.
Nyie MAGAIDI sasa mmepata sababu, hatushangai mkijilipua au kuwalipua watu kisa kuchanwa kohorani. Ndio zenu!
Zamani tuliaminishwa ukichhana unakuwa chizi.Angechoma biblia nacho si kitabu kitakatifu. Huu ni uchokozi wa dhahiri kutaka kuleta machafuko ya kidini.jafo weka ndani huyo fala.
Mwenye akili sawa sawa,hawezi kuchana karatasi ovyo ila mkichaa,anaweza.Zamani tuliaminishwa ukichhana unakuwa chizi.
Kumbe Ilikuwa mikwara.
Hii imekuwa chachu ya watu kujaribu hivyo japo ni jambo Baya kuchana Quran au bibilia
Mimi mbona sijazungumzia nachoona mie cha maana bali mie nimekuweka sawa tu kwamba hatuna uhuru wa kufanya chochote tunachojisikia. Kwahiyo sio mie ninayelazimisha bali ni sheria.Na mimi nakwambia unachoona cha maana kwako kwa wengine ni upumbavu , tusilazimishane
Taja hiyo sheria inayokataza mtu kuchana QURAN ?Mimi mbona sijazungumzia nachoona mie cha maana bali mie nimekuweka sawa tu kwamba hatuna uhuru wa kufanya chochote tunachojisikia. Kwahiyo sio mie ninayelazimisha bali ni sheria.
Mie sijazungumzia Qur'an nimezungumzia kiujumla kwamba kuna sheria zenye kutuzuia kufanya tu lolote tunalolitaka hivyo kama wewe unachana Qur'an haina maana upo huru kufanya lolote kwamba kila unaloona wewe sio muhimu unaweza kulifanya.Taja hiyo sheria inayokataza mtu kuchana QURAN ?
Mambo yameanzia kwenye QUR'AN , nchi hii haina Dini , kuna sheria yeyote mtu akichana QURAN adhabu yake imeandikwa katika katiba ya nchi hii ?Mie sijazungumzia Qur'an nimezungumzia kiujumla kwamba kuna sheria zenye kutuzuia kufanya tu lolote tunalolitaka hivyo kama wewe unachana Qur'an haina maana upo huru kufanya lolote kwamba kila unaloona wewe sio muhimu unaweza kulifanya.
Afisa biashara mkoani morogoro akamatwa na polisi kwa kosa la kuchana quran
View attachment 1349528View attachment 1349529
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ilikusudia kwamba kwakua Qur'an ni kitabu cha Mwenyezi Mungu basihatofurahishwa na kitendo cha kuharibu neno lake ( which is true) kwahivyo kwa wenye imani bado tunamini kuharibu vitabu vitakatifu utapatwa na madhara.Zamani tuliaminishwa ukichhana unakuwa chizi.
Kumbe Ilikuwa mikwara.
Hii imekuwa chachu ya watu kujaribu hivyo japo ni jambo Baya kuchana Quran au bibilia
Kwanini zinachomwa unavyodhani ?Ila za Marekani na Israel mnachoma?
Oooo nimesahau huwa mnaziprint wenyewe na mnachoma wenyewe😝😝