Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

huyo aliye chaniwa kajitabu kake si anunuliwe kengine kesi iishe? mambo mengine yanapoteza muda tu kuyajadili
 
Qur ani hijacopy Bibilia coz Qur an haiitambui Bibilia
Ndio maana nakuambia Taurati=Torati hauijui coz mnamezeshwa
Kajifunzeni kwanza Ujue Taurati ninini ?
Taurati = Kiarabu
Torati = Kiswahili
Huu ni ujinga mnaofundishwa madrasa na hata katika swala za ijumaa, Injili ambayo haikuandikwa inapatikana wapi?
Yohana mbatizaji aliye mkuu kuliko manabii na mitume wote ulimwenguni aliandika habari za Kristo ninyi ni kina nani hadi mnapinga au mliwahi kumuona Kristo?
.
1. Ukiulizwa injili ni nini unaweza kujibu?
2. Ukiambiwa utaje vitabu vinavyounda Torati unaweza kuvitaja na viliandikwa kwa mara ya kwanza wapi?
kama hakuna Biblia mbona koran imekopi maandiko yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu bwana mdogo huenda akili hazipo sawa. Mie nashauri apimwe akili maana kwa usomi wake, mtumishi wa umma na eneo alilopo kuna walakini katika kichwa chake. Kajiaibisha yeye na wengine wanaomzunguka
Ile video ukiitazama utajua kabisa jamaa dish limecheza na mvua inanyesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taurati ni nini?
Wapi nimezungumza habari za kutaka kuua si wewe uliyeandika humu mara kadhaa kuwa unataka kumuua aliyechana likitabu?
musa alipewa kitabu gani?kuuwa kwanza ni zambi?
 
Qur ani hijacopy Bibilia coz Qur an haiitambui Bibilia
Ndio maana nakuambia Taurati=Torati hauijui coz mnamezeshwa
Kajifunzeni kwanza Ujue Taurati ninini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona maswali yangu unayakimbia basi jibu hili tu Injili kama haikuandikwa basi iko sehemu gani na ikoje hiyo injili na nani aliyesema kuwa haikiandikwa miongoni mwa wanafunzi wa Kristo?

Torati ni sheria za Mungu walizopewa wana wa Israel baada kumuasi Mungu walipaswa kupewa sheria za uzima ila wakapewa mauti baada ya kumuudhi Mungu.
.
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali vitakatifu vikawekwa katika kitabu kimoja unaposema koran haiitambui Biblia unakuwa wa ajabu maana habari zilizoko ndani ya Biblia ziko kwenye koran kama zilivyo na baadhi zimebadilishwa mfano kufa kwa Kristo, alizaliwa wapi n.k
Unabisha Koran haijaikopi Biblia nikuwekee aya ujione kuwa wewe ni mpumbavu?
 
musa alipewa kitabu gani?kuuwa kwanza ni zambi?
Kuua ni dhambi ndio.
Musa hajapewa kitabu hatunaga habari hizo sisi eti alipewa mara alishushiwa hata mtoto mdogo hataweza kuamini.

Musa aliandika vitabu vya Torati vitano na viko ndani ya Biblia
 
Ukisema hivyo unakosea mkuu mbona Nabii Tito alikamatwa kwa kile alichokuwa anakifanya ina maana mungu wa wakristo alishindwa kumzuia Tito hadi polisi ndio iingilie?

Wakristo hawakupoteza muda na huyo unaemtaja. U kristo una ethics zake na pia Mungu wa wakristo hapiganiwi na wanadamu anajipigania yeye mwenyewe kwa kumchangua mwanadamu awe kioo kwa wkati maalumu na akimaliza kazi aliyotumwa basi .
Mimi nashangaa sana badala ya kulipa wema kwa ubaya wao wanalipa ubaya kwa ubaya
 
Hii ni mihemko isiyokuwa na maana ktk utumishi wa umma. Amemsimamisha kazi kwa kutumia kifungu kipi cha sheria za kazi? Kuna mahali pameandikwa kuwa mtumishi wa umma akichana kohorani asimamishwe kazi? Aache hizo. Analogia Malenga,

Sent using Jamii Forums mobile app
Rejea kiapo cha maadili ya watumishi wa umma kipengele cha 11, kinasema hivi

"Nitaepuka tabia ambayo inavunja heshima ya utumishi wa umma hata ninapokuwa nje ya mahali pa kazi"

Kwa kitendo alichofanya tayari amevunja kiapo chake, kiongozi yoyote wa juu yake anaweza kumchukulia hatua kama alivyofanya Jafo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
T-Bagwell,
Kakosea. Yeye ni kiongozi wa serikali na anapaswa kusimamia mambo ya kiserikali/kiutumishi. Je kama angachana Atlas au kamusi angesimamishwa kazi?

Ningeshauri huyo waziri acachane na hayo mabo yatakuja mchafua, vinginevyo, achukue kanzu na aende msikitini kuendesha mambo ya ibada aachane na kazi za serikali
CORRECT,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIONI UHUSIANO WA KUCHANWA HIYO QURAN NA KUSIMAMISHWA KAZI.

Kwani amechania ofisini huko halmashauri au katika eneo lolote la ofisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakristo hawakupoteza muda na huyo unaemtaja. U kristo una ethics zake na pia Mungu wa wakristo hapiganiwi na wanadamu anajipigania yeye mwenyewe kwa kumchangua mwanadamu awe kioo kwa wkati maalumu na akimaliza kazi aliyotumwa basi .
Mimi nashangaa sana badala ya kulipa wema kwa ubaya wao wanalipa ubaya kwa ubaya
Waislam na dini yao huwa wanashangaza

Kuna mitahira ya kiislam eti inadai jamaa alipaswa ashushiwe jambia kichwani au auawe

Kisa maandishi ya waarabu waliokufa zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukisema usubiri vifungu vya sheria na kushindwa kutumia akili/busara ndio unakuta watu wanauwana wenyewe kwa wenyewe Arusha huko.
Kumsimamisha kazi kunaondoa vipi kuuana? Tuache kutumia sheria ili kila mtu atumie busara! Bila shaka tutakuwa taifa la vichaa. Mimi nadhani kuzuia watu wasiuane ni kumkamata na kwenda kumhifadhi huko na hilo hatujalipinga.
 
Back
Top Bottom