Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Wa morogoro mmemtafuta kamanda wa polisi ndio amisaidie , wacha kujivimbia kwenye keyboard wewe ahahahaha
kwanini wamnyime dhamana?hujiulizi?yule angeachiwa jana leo maiti wangemkuta kashakufa
 
kwanini wamnyime dhamana?hujiulizi?yule angeachiwa jana leo maiti wangemkuta kashakufa
Uongo mtupu kuna sheikh alijitangazia utume na hamku mfanya chochote , nyie mnaongea sana kama chuchungi
 
Kama unaweza Muua mwenzako kisa QURAN au BIBLE imechanwa , basi wewe ni TAHIRA, yaani Mungu atulie wewe ndio uwe kiherehere
chukua katiba ya tanzania jikusanye na wenzako wakurekodi video kisha chana hizo karatasi ambazo ni katiba ya nchi.au chukua bendera ya taifa la tanzania ichanechane kishasema hiki kitambaa ni mavi tu ni takataka tu.utakachokipata utajua
 
Uongo mtupu kuna sheikh alijitangazia utume na hamku mfanya chochote , nyie mnaongea sana kama chuchungi
tusibishane kama ww unaona huyo jamaa yupo sahihi kwanini kanyimwa dhamana?hakimu na waliomzunguka wanajua hilo jambo ni balaa kwa uhai wake bora wamtunze kwanza korokoroni.japo akipatikana mtaani tutamalizana nae kimya kimya
 
Kwani Tito alikuwa mtumishi wa Tamisemi?

Hujuwi kuwa huyo mchoma Qur'an boss wake wa Tamisemi ni Jaffo?
Umekurupuka kujibu ikiwa mimi nilikuwa namjibu mtu alieuliza swali lililohitaji jibu hilo,hata hivyo naomba kuuliza serikali ambayo haina dini ikianza kujihusisha na mambo ya dini itaweza mana tuna dini nyingi na kila dini ina mambo yake,haya bwana jaffo yetu macho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yupo ndani kisheria au serikali haina sheria pia?
 
sasa kwanini ulimuuliza hao manabii wa mwanzo watahukumiwa kwa lugha gani?
Amesema siku ya mwisho Mungu atatuuliza maswali kwa kiarabu 😝😝😝😝 imebidi niulize sasa watu wa kale nyakati za kina Elia ama mfalme Daudi watajibu nini?
 
Amesema siku ya mwisho Mungu atatuuliza maswali kwa kiarabu 😝😝😝😝 imebidi niulize sasa watu wa kale nyakati za kina Elia ama mfalme Daudi watajibu nini?

Allah anasema "kuwa" inakuwa.

Kun fa ya kun.
 
Amri kumi za Musa hizo Biblia inaeleza hakuna dhambi isiyosameheka zaidi ya uchawi (Agano la Kale)
yesu alisema amekuja kutimiliza taurati.siyo kupunguza.kama kuuwa ni dhambi wewe unapata wapi uhalali wa kuhalalisha kuuwa?
 
Oooooh My god!! amechana heshima yake na amechana karatasi yenye maandishiya Qurani. Hiyo ni Provocation isiyo na tija! QURAAN ipo ndani ya mioyo ya Waumini na haitoweza kunyakuliwa au kuchanwa! Tunapo hifadhi Quraan tunaiweka kifuani na kuitumikia. Waisalm tuwe wavumilivu na tuondoe jazba!

Uhuni huu wa uchokozi haukuanza leo.... walishindwa wengi miaka 1441 iliyopita
Tumemsamehe aalipwa na mwenye msahafu.
Kula tano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom