Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

tusibishane kama ww unaona huyo jamaa yupo sahihi kwanini kanyimwa dhamana?hakimu na waliomzunguka wanajua hilo jambo ni balaa kwa uhai wake bora wamtunze kwanza korokoroni.japo akipatikana mtaani tutamalizana nae kimya kimya
Acha porojo kijana hizo tambo za nyuma ya keyboard
 
chukua katiba ya tanzania jikusanye na wenzako wakurekodi video kisha chana hizo karatasi ambazo ni katiba ya nchi.au chukua bendera ya taifa la tanzania ichanechane kishasema hiki kitambaa ni mavi tu ni takataka tu.utakachokipata utajua
Katiba ya nchi ni kwa watanzania wote ,lakini QURAN au BIBLE ni kwa ajili ya vigenge vya watu , hivyo haina tatizo kama ukichana maana kwako ni upuuzi
 
Kuna shida ya akili hapa....aliyechana ana shida na anayeyotoa maagizo pia ana shida!
 
Nimekuambia binadamu wote tutaongea/jibu kwa lugha moja tu, nayo ni "Allughatil'arabiyyah lugha ya kiarabu" Hakuna cha kiingereza, kiyahudi, kihindi, kichagga wala mama yake na kiswahili. Hapo ulipo hujui kiarabu, ila utakapokufa na kuzikwa kuna maswali utakutananayo mule ndani, maswali yenyewe utaulizwa kwa kiarabu na kuyajibu kwa kiarabu hata kama huijui lugha automatically utaongea tu,,,Allah ni mjuzi zaidi!
Hahahaha ana miujiza gani sasa embu nionyeshe muujuza mmoja aliomtunuku mwamedi akaufanya?
Maana sote tunafahamu mwamedi hakujua kifo chake kitakuwa cha namna gani na hata baada ya kufa hajajua wapi anakweda.
LANGUAGE IS NOT A BARRIER KWA MUNGU WA KWELI HATA UENDE UNAZUNGUMZA KISANDAWE.


Mi nitakupa mmoja mdogo sana Nabii Elia aliomba moto ukashuka mbinguni ukabeba sadaka yake na mwisho wa Elia ulikuwa wa ajabu zaidi baada ya kumbariki Elisha alinyakuliwa kwenda mbinguni ni muujiza wa ajabu kabisa.
 
Katika Qur ani Hakuna Bibilia kuna Injili na Taurati.
Injili haikuandikwa kaa ukijua hilo.


Sent using Jamii Forums mobile app
Taurati = Kiarabu
Torati = Kiswahili
Huu ni ujinga mnaofundishwa madrasa na hata katika swala za ijumaa, Injili ambayo haikuandikwa inapatikana wapi?
Yohana mbatizaji aliye mkuu kuliko manabii na mitume wote ulimwenguni aliandika habari za Kristo ninyi ni kina nani hadi mnapinga au mliwahi kumuona Kristo?
.
1. Ukiulizwa injili ni nini unaweza kujibu?
2. Ukiambiwa utaje vitabu vinavyounda Torati unaweza kuvitaja na viliandikwa kwa mara ya kwanza wapi?
kama hakuna Biblia mbona koran imekopi maandiko yake?
 
Waislam wanawaza kuua tu

Sent using Jamii Forums mobile app


Ndivyo mlivyokaririshwa huko makanisani eti! Waambie ndugu zako waache kuuwa vikongwe, Albino, kuwachizisha na kuwauwa watoto wenu kwa maagizo ya waganga ili mtajirike. Bila kusahau yale mafuta ya upako mnadanganywa kanyageni tu mtabarikiwa na mtatajirika. Akili zingine hizi mnazijua wenyewe😂😂😂 kama watoto wa nursery vile mnavyoambiwa mnaamini 😂😂
 
Nimekuambia binadamu wote tutaongea/jibu kwa lugha moja tu, nayo ni "Allughatil'arabiyyah lugha ya kiarabu" Hakuna cha kiingereza, kiyahudi, kihindi, kichagga wala mama yake na kiswahili. Hapo ulipo hujui kiarabu, ila utakapokufa na kuzikwa kuna maswali utakutananayo mule ndani, maswali yenyewe utaulizwa kwa kiarabu na kuyajibu kwa kiarabu hata kama huijui lugha automatically utaongea tu,,,Allah ni mjuzi zaidi!
Hii sio sahihi.

Ni maneno ya mtaani hayana ushahidi wazi kuwa lugha ya huko ni kiarabu.

Kumbuka kuwa Mungu ni mjuzi wa lugha zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yesu alisema amekuja kutimiliza taurati.siyo kupunguza.kama kuuwa ni dhambi wewe unapata wapi uhalali wa kuhalalisha kuuwa?
Taurati ni nini?
Wapi nimezungumza habari za kutaka kuua si wewe uliyeandika humu mara kadhaa kuwa unataka kumuua aliyechana likitabu?
 
Back
Top Bottom