The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,221
- 4,564
Nimeona vodeo jamaa kasema "Mnamtetea Mungu wenu badala ajitetee mwemyewe" japo siungi mkono kitendo alichokifanya cha kuchana quran, lakini kwa comment za waislam ninazoziona humu jamaa yupo sahihi (si kwa kuichana quran bali kwa maneno yake)
Waislam acheni hoja zisizo na mashiko sijui jamaa afukuzwe kazi, au apigwe majambia.. Sijui auwawe watu wapate pepo kupitia mgongo wake, huo ni udhaifu na udumanzi wa akili, kama neno la Mungu wenu Allah limechanwa na yeye huyo Allah ana nguvu na uwezo wote according to imani yenu basi yeye ndiye atamuadhibu kutokana na ukubwa wa kosa alilolifanya jamaa.
Narudia tena siungi mkono kitendo alichokifanya jamaa ila hoja zenu za kutaka jamaa adhuriwe zinanipa wasiwasi kua huenda ni kweli mnamtetea Mungu wenu Allah instead ya yeye kujitetea mwenyewe wakati kadiri ya imani yenu huo uwezo anao.
Sent using Jamii Forums mobile app