mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Kiukweli hata mimi nilivyokuwa mdogo hata kuigusa tu nilikuwa naiogopa.Huko kuchana kwenyewe ndio uchizi,wewe wataka uchizi upi,kichaa ndiye anayechana makaratasi ovyo..Mwenye akili sawa sawa,hawezi kuchana karatasi ovyo ila mkichaa,anaweza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliambiwa ukiichana tu papo hapo unakuwa chizi au unakufa ndio maana nikaiona kama kitu hatari.
Inabidi watu waelimishwe tu kuwa kiheshimiwe tu kama kitabu cha Imani ya waislam, hawana haja ya kujaribu. Ila nadhani waislam wanavyoikuza na kuongezea vitisho ambavyo sio halisi.
Watu wafundishwe kuchana Quran ni uchizi sio ukichana Quran utakufa au utakuwa mwehu Mara tu baada ya kuchana.