Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Ndio hivyo sasa maneno hayasaidii nenda kamsaidie huyo mlevi mwenzio huko mahakamani.
 
Mungu ana njia nyingi za kuadhibu, alipigwa yesu na msalabani akatundikwa kwanini Mungu hakumtetea?
 
Na hata waislam hatufundishwi kuwa kuichana qur an unakuwa chizi, hayo ni mafundisho yasiyo sahihi ambayo wakristo mnayo, ndio maana hata mtu anaweza kuwaambia mkikanyaga mafuta mnabarikiwa na nyie mnakubali,
 
Muache asimamishwe tu hiyo kazi, ikiwezekana afutwe kabisa.
Jitu zima kuanza kuchana maandiko ya Mungu.
Mimi si muislamu ila hiki kitendo kimeniumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi ni muislam lakini naamini yule jamaa hayuko timamu kichwani, nakubali asimamishwe kazi lakini si kutiwa ndani apelekwe hoslitali
 
Ondoa shaka, jibu hili alafu uulize hilo swali lako..
Point of correction: Issa ndio Yesu lakini Yesu Kristo sio Issa
Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga?
 
Na hata waislam hatufundishwi kuwa kuichana qur an unakuwa chizi, hayo ni mafundisho yasiyo sahihi ambayo wakristo mnayo, ndio maana hata mtu anaweza kuwaambia mkikanyaga mafuta mnabarikiwa na nyie mnakubali,
Mkuu hizo mikwara huwa inapigwa na waislam.
Kumbuka zile vurugu mbagala waislam wakiiba na kuvamia makanisa.

Ulianza ubishi wa watoto Mmoja mkristo anapigwa mikwara kuwa akikanyaga /kojolea Quran atakuwa chizi, dogo anawaambia haiwezekani. Akafanya yake waislam wakajibu Kwa fujo.

Kuna mambo mengi waislam hasa wasio na ilimu wanapaswa wasaidiwe, ikiwemo na albadri
 
Vipi kuhusu wakristo hawana mambo mengi ya kusaidiwa? Maana wayafanya yanasikitisha pia, nikupe aya kwenye qur an inayokataza albadir?
 
 
Hivi yule jamaa chuki aliyoionesha dhidi ya kitabu cha waislam unadhani ataweza kuwahudumia vizuri waislam watakaoenda kupata huduma yake kwenye hiyo ofisi ya umma?
Kwanini asiwahudumie vzr? Ila anatakiwa aondolewe hapo wasije mdhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu wakristo hawana mambo mengi ya kusaidiwa? Maana wayafanya yanasikitisha pia, nikupe aya kwenye qur an inayokataza albadir?
Nipe aya mkuu.
Wakristo wenda wanakosea zaidi. Hasa wasiosoma bibilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…