Nimekuuliza nani unaemuona anatumia hicho kitabu ni Mungu au waislamu? Hata gesi,madini n.k ni vya Mungu pia ila mbona hushangai watu kuvilinda badala ya Mungu mwenyewe?Kumbe QURAN sio kitabu cha Mungu tena ?
Lete hiyo sheria hapa tuone acha manenoBangi za wapi umevuta mkuu? Bora ungepinga kukamatwa na si kusimamishwa kazi, jafo kamsimamisha kazi kwakuwa jamaa ana kesi ya kujibu, sheria za kazi za tz ukiwa na kesi tu lazima usimamishwe kazi hata kama kesi ya kuiba kitumbua
Shukraan jazeelan... mie moja yantosha !!!
Kwahiyo mnavyosema Mungu kujitetea mnakusudia kulinda haki yake au status yake,sasa kuchanwa kwa karatasi yenye maandishi ya Qur'an je ni haki gani au status ambayo unaona Mungu wa waislamu ameshindwa kuilinda?Kuilinda haki yao au status yako
Muache asimamishwe tu hiyo kazi, ikiwezekana afutwe kabisa.
Jitu zima kuanza kuchana maandiko ya Mungu.
Mimi si muislamu ila hiki kitendo kimeniumiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kilimuudhi. Kama hiyo koraan ilikuwa ofisini, je ni mahali pake? Siku hizi ukienda maofisini unakuta watendaji wameweka biblia au koraan mezani.Zinasaidia nini? Pengine huyu alihitaji msaada Fulani kikazi, alafu badala ya kujibiwa huyu officer anakalia kusoma koraan. Ungekuwa wewe ungefanyaje? Hata Yesu alikufa kwa ajili ya wengine. Potelea mbali hata afukuzwe kazi liwe fundisho kwa wengine. Kuna watumishi wengine wanatenga vyumba vya ibada ofisini anaenda na ndala eti ukifika muda wa kuswali aingie kuswali huku watu wanamsubiri muda mrefu. Serikali angalia, sikiliza pande mbili nini chanzo cha tatizo.Huyo mtumishi amevunja kifungu kipi cha sheria za kazi? Unaweza kututajia hicho kifungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana
Kuna kitu kilimuudhi. Kama hiyo koraan ilikuwa ofisini, je ni mahali pake? Siku hizi ukienda maofisini unakuta watendaji wameweka biblia au koraan mezani.Zinasaidia nini? Pengine huyu alihitaji msaada Fulani kikazi, alafu badala ya kujibiwa huyu officer anakalia kusoma koraan. Ungekuwa wewe ungefanyaje? Hata Yesu alikufa kwa ajili ya wengine. Potelea mbali hata afukuzwe kazi liwe fundisho kwa wengine. Kuna watumishi wengine wanatenga vyumba vya ibada ofisini anaenda na ndala eti ukifika muda wa kuswali aingie kuswali huku watu wanamsubiri muda mrefu. Serikali angalia, sikiliza pande mbili nini chanzo cha tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakristo hawakumpuuza walikuwa wakimjadili sana humu na hadi polisi ikaingilia hilo suala kwa kumkamata na wakristo wakapongeza jeshi la polisi kwa maana alikuwa akiwakera na mahubiri yake.
Halafu kwenye biblia mbona yapo maandiko ambayo zilikuwa ni amri za kuuwa zilizotoka kwa Mungu na zilitekelezwa,labda useme huyo si Mungu wa wakristo unayemzungumzia hapa kwamba anajipigania mwenyewe hapiganiwi.
Waislam na dini yao huwa wanashangaza
Kuna mitahira ya kiislam eti inadai jamaa alipaswa ashushiwe jambia kichwani au auawe
Kisa maandishi ya waarabu waliokufa zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa vizuri sanaKuna kitu kilimuudhi. Kama hiyo koraan ilikuwa ofisini, je ni mahali pake? Siku hizi ukienda maofisini unakuta watendaji wameweka biblia au koraan mezani.Zinasaidia nini? Pengine huyu alihitaji msaada Fulani kikazi, alafu badala ya kujibiwa huyu officer anakalia kusoma koraan. Ungekuwa wewe ungefanyaje? Hata Yesu alikufa kwa ajili ya wengine. Potelea mbali hata afukuzwe kazi liwe fundisho kwa wengine. Kuna watumishi wengine wanatenga vyumba vya ibada ofisini anaenda na ndala eti ukifika muda wa kuswali aingie kuswali huku watu wanamsubiri muda mrefu. Serikali angalia, sikiliza pande mbili nini chanzo cha tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana ake?!Yesu alikuta hekalu la bwana limegeuzwa soko unajua nini alifanya? Kwanini hakumuacha bwana afanye yake? Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga?
Sijui kwanini mnapenda kujisifu kusoma,hivi ukiangalia yanayoendelea katika hiyo dini yenu yani kweli bado mna hali ya kuendelea kujisifu mna elimu? Ni mambo gani ya ajabu mnafanyiwa na hao manabii na wachungaji ?Zilikuwepo it was past but now we are no more applying.
Ndio maana wakristo wamewazidi sana waislamu kwa kila kitu.
Waislam hata kama mmesoma sijui mnakwama wapi mambo yenu ya kimhemko hemko sana. Mtazame Waziri mzima anakurupuka na kuongea nonsense kabisa kwasababu ya udini. Mbona hakuact accordingly suala la uchaguzi wa serikali za mitaa?. We dont have think tankers kwa viongoz
Wamelazimishwa wala hawajafanya watakalo , maana zile karatasi kwani umenunua wewe mpaka ulazimishe polisi wamkamateHata hao waliomtia ndani wamefanya walitakalo,
Umuue mwenzako kisa vikaratasi vya QURAN na BIBLIA huo ni utahira , hakuna sifa nyingineyou have missed my point, na sina muda wa kubishana na asotaka kuelewa.
Gesi ilishawai jitangazia wapi ni ya Mungu ? lakini QURAN inajitangaza yenyewe kuwa ni MANENO ya Mungu wacha kufananisha Kifo na usingizi weweNimekuuliza nani unaemuona anatumia hicho kitabu ni Mungu au waislamu? Hata gesi,madini n.k ni vya Mungu pia ila mbona hushangai watu kuvilinda badala ya Mungu mwenyewe?