Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Wakati tunajadiliana kuhusu mtumishi kuachana quran
Tujiulize ni Nani alikupeleka Quran hiyo eneo la tukio.? Ni wazi kuwa mtumishi hakwenda nayo pale Bali alipewa hapo na wengine ndipo akaichana
Hao waliompa hiyo Quran wamechukuliwa hatua gani,?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bangi za wapi umevuta mkuu? Bora ungepinga kukamatwa na si kusimamishwa kazi, jafo kamsimamisha kazi kwakuwa jamaa ana kesi ya kujibu, sheria za kazi za tz ukiwa na kesi tu lazima usimamishwe kazi hata kama kesi ya kuiba kitumbua
Lete hiyo sheria hapa tuone acha maneno
 
Kuilinda haki yao au status yako
Kwahiyo mnavyosema Mungu kujitetea mnakusudia kulinda haki yake au status yake,sasa kuchanwa kwa karatasi yenye maandishi ya Qur'an je ni haki gani au status ambayo unaona Mungu wa waislamu ameshindwa kuilinda?
 
Huyo mtumishi amevunja kifungu kipi cha sheria za kazi? Unaweza kututajia hicho kifungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kilimuudhi. Kama hiyo koraan ilikuwa ofisini, je ni mahali pake? Siku hizi ukienda maofisini unakuta watendaji wameweka biblia au koraan mezani.Zinasaidia nini? Pengine huyu alihitaji msaada Fulani kikazi, alafu badala ya kujibiwa huyu officer anakalia kusoma koraan. Ungekuwa wewe ungefanyaje? Hata Yesu alikufa kwa ajili ya wengine. Potelea mbali hata afukuzwe kazi liwe fundisho kwa wengine. Kuna watumishi wengine wanatenga vyumba vya ibada ofisini anaenda na ndala eti ukifika muda wa kuswali aingie kuswali huku watu wanamsubiri muda mrefu. Serikali angalia, sikiliza pande mbili nini chanzo cha tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jikite kwenye mada,usitoke kwenye mada.Huyu alichana barabarani,sio ofisini kwa mtu yoyote.
Kuna kitu kilimuudhi. Kama hiyo koraan ilikuwa ofisini, je ni mahali pake? Siku hizi ukienda maofisini unakuta watendaji wameweka biblia au koraan mezani.Zinasaidia nini? Pengine huyu alihitaji msaada Fulani kikazi, alafu badala ya kujibiwa huyu officer anakalia kusoma koraan. Ungekuwa wewe ungefanyaje? Hata Yesu alikufa kwa ajili ya wengine. Potelea mbali hata afukuzwe kazi liwe fundisho kwa wengine. Kuna watumishi wengine wanatenga vyumba vya ibada ofisini anaenda na ndala eti ukifika muda wa kuswali aingie kuswali huku watu wanamsubiri muda mrefu. Serikali angalia, sikiliza pande mbili nini chanzo cha tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakristo hawakumpuuza walikuwa wakimjadili sana humu na hadi polisi ikaingilia hilo suala kwa kumkamata na wakristo wakapongeza jeshi la polisi kwa maana alikuwa akiwakera na mahubiri yake.

Halafu kwenye biblia mbona yapo maandiko ambayo zilikuwa ni amri za kuuwa zilizotoka kwa Mungu na zilitekelezwa,labda useme huyo si Mungu wa wakristo unayemzungumzia hapa kwamba anajipigania mwenyewe hapiganiwi.

Zilikuwepo it was past but now we are no more applying.
Ndio maana wakristo wamewazidi sana waislamu kwa kila kitu.

Waislam hata kama mmesoma sijui mnakwama wapi mambo yenu ya kimhemko hemko sana. Mtazame Waziri mzima anakurupuka na kuongea nonsense kabisa kwasababu ya udini. Mbona hakuact accordingly suala la uchaguzi wa serikali za mitaa?. We dont have think tankers kwa viongoz
 
Kuna kitu kilimuudhi. Kama hiyo koraan ilikuwa ofisini, je ni mahali pake? Siku hizi ukienda maofisini unakuta watendaji wameweka biblia au koraan mezani.Zinasaidia nini? Pengine huyu alihitaji msaada Fulani kikazi, alafu badala ya kujibiwa huyu officer anakalia kusoma koraan. Ungekuwa wewe ungefanyaje? Hata Yesu alikufa kwa ajili ya wengine. Potelea mbali hata afukuzwe kazi liwe fundisho kwa wengine. Kuna watumishi wengine wanatenga vyumba vya ibada ofisini anaenda na ndala eti ukifika muda wa kuswali aingie kuswali huku watu wanamsubiri muda mrefu. Serikali angalia, sikiliza pande mbili nini chanzo cha tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zilikuwepo it was past but now we are no more applying.
Ndio maana wakristo wamewazidi sana waislamu kwa kila kitu.

Waislam hata kama mmesoma sijui mnakwama wapi mambo yenu ya kimhemko hemko sana. Mtazame Waziri mzima anakurupuka na kuongea nonsense kabisa kwasababu ya udini. Mbona hakuact accordingly suala la uchaguzi wa serikali za mitaa?. We dont have think tankers kwa viongoz
Sijui kwanini mnapenda kujisifu kusoma,hivi ukiangalia yanayoendelea katika hiyo dini yenu yani kweli bado mna hali ya kuendelea kujisifu mna elimu? Ni mambo gani ya ajabu mnafanyiwa na hao manabii na wachungaji ?
Hata huku kukamatwa Mwamposa utaona sababu kubwa ni kwamba watu wanachukizwa na huo utapeli wa waziwazi wa hao manabii ila wenyewe wakristo huambii kitu halafu bado mnakuja kujisifu mmesoma? Kuhusu mihemko mbona hili suala liko wazi kabisa kuwa Magufuli kaliingilia na ndiyo maana yule mkuu wa mkoa akabadili kauli zake na kuleta story za sijui vibaka ndio waliyosababisha wakati mwanzo hakusema alionekana nae kuchukizwa na huu utapeli wa hawa manabii.
 
Nimekuuliza nani unaemuona anatumia hicho kitabu ni Mungu au waislamu? Hata gesi,madini n.k ni vya Mungu pia ila mbona hushangai watu kuvilinda badala ya Mungu mwenyewe?
Gesi ilishawai jitangazia wapi ni ya Mungu ? lakini QURAN inajitangaza yenyewe kuwa ni MANENO ya Mungu wacha kufananisha Kifo na usingizi wewe
 
Back
Top Bottom