Nani unamuona anatumia Qur'an ni Mungu au waislamu?Gesi ilishawai jitangazia wapi ni ya Mungu ? lakini QURAN inajitangaza yenyewe kuwa ni MANENO ya Mungu wacha kufananisha Kifo na usingizi wewe
Ata wapangaji wanatumia nyumba lakini sio zao , kutumia kwako hakuondoi kuwa QURAN ni ya MunguNani unamuona anatumia Qur'an ni Mungu au waislamu?
Mwamposa kajiingiza kwenye ukristo kiutapeliSijui kwanini mnapenda kujisifu kusoma,hivi ukiangalia yanayoendelea katika hiyo dini yenu yani kweli bado mna hali ya kuendelea kujisifu mna elimu? Ni mambo gani ya ajabu mnafanyiwa na hao manabii na wachungaji ?
Hata huku kukamatwa Mwamposa utaona sababu kubwa ni kwamba watu wanachukizwa na huo utapeli wa waziwazi wa hao manabii ila wenyewe wakristo huambii kitu halafu bado mnakuja kujisifu mmesoma? Kuhusu mihemko mbona hili suala liko wazi kabisa kuwa Magufuli kaliingilia na ndiyo maana yule mkuu wa mkoa akabadili kauli zake na kuleta story za sijui vibaka ndio waliyosababisha wakati mwanzo hakusema alionekana nae kuchukizwa na huu utapeli wa hawa manabii.
Hakuna ubishi kuwa Qur'an ni ya Mungu na waislamu ndio wenye kuitumia,tatizo liko wapi?Ata wapangaji wanatumia nyumba lakini sio zao , kutumia kwako hakuondoi kuwa QURAN ni ya Mungu
Hao akina Sharifu majini hawajipi uspesho wowote kwenye uislamu,watu wanawatambua kama wataalamu tu wenye kuhusika masuala ya dua na tiba na kuishia hapo,na hayo mafuta ni kwa ajiri ya tiba na cha ziada ni kuyaombia dua tu.Mwamposa kajiingiza kwenye ukristo kiutapeli
Hata Sharifu majin mbona anauza mafuta na kuwakusanya watu pale mabiblo mwishoView attachment 1353156
Acha kutetea ujingaHao akina Sharifu majini hawajipi uspesho wowote kwenye uislamu,watu wanawatambua kama wataalamu tu wenye kuhusika masuala ya dua na tiba na kuishia hapo,na hayo mafuta ni kwa ajiri ya tiba na cha ziada ni kuyaombia dua tu.
Sisemi kuwa nao wengine sio matapeli ila kuna tofauti kubwa sana.
Ok eleza basi unavyomjua huyo Sharifu majini kuhusiana na hayo mafuta,mie nimeeleza nachokijua na sio kutetea.Acha kutetea ujinga
Au unadhani hatumjui Sharifu majin anavyouzia watu Mafuta kama.kina mwamposa?
Unamjua Nabii na mtume Ilyaas ?
Anaweza kuwa hana akili timamu, ni chinzi. Au anaweza kuwa amepata tatizo ghafla akili yake ikawa haiko sawa tena kama alivyokuwa mwanzo. Yaani kati ya vitu ambavyo ni hatari sana hapa duniani, ni kucheza na imani za watu, au Serikali. Ni hatari sanaAna bahati sana hajauawa na waumini wa Kiislam, sifa nyingine za kijinga zinaponza sasa angalia anasimamishwa kazi.
Hii aione bibi yangu kipenzi FaizaFoxy
Anasimamishwa kazi kwa kuhatarisha amani na utulivu wa Nchi. Kifungu sijui ni namba ngapi lakini uhakika ni kuwa kifungu hicho kipo!Hii ni mihemko isiyokuwa na maana ktk utumishi wa umma. Amemsimamisha kazi kwa kutumia kifungu kipi cha sheria za kazi? Kuna mahali pameandikwa kuwa mtumishi wa umma akichana kohorani asimamishwe kazi? Aache hizo. Analogia Malenga,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazini yuko salama hajavunja kifungu chochote, ila kama mtanzania, amevinja kifungu kwa kuhatarisha amani ya nchi, ambayo ni mbaya zaidi afadhali angeviunja kifungu cha kaziHuyo mtumishi amevunja kifungu kipi cha sheria za kazi? Unaweza kututajia hicho kifungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Upagani unakubalika pia ila pasipo kuwa unafanya vurugu kwa wanaomwamini Mungu kwa kutumia Maandiko Matakatifu. Upagani pia ni dini, ila wao maandiko matakatifu hawana, sijawahi kuyasikia wala kuyaonaKwahiyo unataka kusema upagani haukubaliki Tanzania?
#Bagwell
Bendera za taifa zipo kibao nchini, kamata moja choma moto hadharani, itemee mate, ikanyage, iite mavi, tuje tukushangilie.Mimi naona wangempotezea tu kwani hamna nakala nyingine za hiko kitabu hapo kilosa?
Kazini yuko salama hajavunja kifungu chochote, ila kama mtanzania, amevinja kifungu kwa kuhatarisha amani ya nchi, ambayo ni mbaya zaidi afadhali angeviunja kifungu cha kazi
Hapana, hayuko salama. Nilimaanisha hajafanya kosa ofisini, ila amefanya kosa la jinai katika mazingira mengine ambayo siyo ya ofisini. Ni kama mtu mfanyakazi wa umma apigane na kujeruhi mtu mtaani. Ofisini anakuwa hajafanya kosa katika mazingira hayoKazi gani serikalini anakuwa salama kwa kushtakiwa kosa la jinai?
No correlation try againBendera za taifa zipo kibao nchini, kamata moja choma moto hadharani, itemee mate, ikanyage, iite mavi, tuje tukushangilie.
Mwenye Quran yake katulia tuliiii ilipochanwa , wewe sheikh ubwabwa kelele za nini ?Hakuna ubishi kuwa Qur'an ni ya Mungu na waislamu ndio wenye kuitumia,tatizo liko wapi?
No correlation try again
Fikiria tena kama kuna uhusiano !?Kumbe hata hujui unachosema.... umesema wangempotezea tu "kwani kilosa hakuna nakala nyingine za hiko kitabu"? Nikakurahisishia kwa kukupa mfano, tanzania kuna pcs nyingi sana za bendera, ikipotea moja hakuna hasara, sasa wewe hiyo moja ifanyie dhihaka uone.