Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Gesi ilishawai jitangazia wapi ni ya Mungu ? lakini QURAN inajitangaza yenyewe kuwa ni MANENO ya Mungu wacha kufananisha Kifo na usingizi wewe
Nani unamuona anatumia Qur'an ni Mungu au waislamu?
 
Sijui kwanini mnapenda kujisifu kusoma,hivi ukiangalia yanayoendelea katika hiyo dini yenu yani kweli bado mna hali ya kuendelea kujisifu mna elimu? Ni mambo gani ya ajabu mnafanyiwa na hao manabii na wachungaji ?
Hata huku kukamatwa Mwamposa utaona sababu kubwa ni kwamba watu wanachukizwa na huo utapeli wa waziwazi wa hao manabii ila wenyewe wakristo huambii kitu halafu bado mnakuja kujisifu mmesoma? Kuhusu mihemko mbona hili suala liko wazi kabisa kuwa Magufuli kaliingilia na ndiyo maana yule mkuu wa mkoa akabadili kauli zake na kuleta story za sijui vibaka ndio waliyosababisha wakati mwanzo hakusema alionekana nae kuchukizwa na huu utapeli wa hawa manabii.
Mwamposa kajiingiza kwenye ukristo kiutapeli

Hata Sharifu majin mbona anauza mafuta na kuwakusanya watu pale mabiblo mwisho
IMG_20200210_093421_463.jpeg
 
Mwamposa kajiingiza kwenye ukristo kiutapeli

Hata Sharifu majin mbona anauza mafuta na kuwakusanya watu pale mabiblo mwishoView attachment 1353156
Hao akina Sharifu majini hawajipi uspesho wowote kwenye uislamu,watu wanawatambua kama wataalamu tu wenye kuhusika masuala ya dua na tiba na kuishia hapo,na hayo mafuta ni kwa ajiri ya tiba na cha ziada ni kuyaombia dua tu.

Sisemi kuwa nao wengine sio matapeli ila kuna tofauti kubwa sana.
 
Acha kutetea ujinga

Au unadhani hatumjui Sharifu majin anavyouzia watu Mafuta kama.kina mwamposa?

Unamjua Nabii na mtume Ilyaas ?
 
Acha kutetea ujinga

Au unadhani hatumjui Sharifu majin anavyouzia watu Mafuta kama.kina mwamposa?

Unamjua Nabii na mtume Ilyaas ?
Ok eleza basi unavyomjua huyo Sharifu majini kuhusiana na hayo mafuta,mie nimeeleza nachokijua na sio kutetea.
 
Ana bahati sana hajauawa na waumini wa Kiislam, sifa nyingine za kijinga zinaponza sasa angalia anasimamishwa kazi.

Hii aione bibi yangu kipenzi FaizaFoxy
Anaweza kuwa hana akili timamu, ni chinzi. Au anaweza kuwa amepata tatizo ghafla akili yake ikawa haiko sawa tena kama alivyokuwa mwanzo. Yaani kati ya vitu ambavyo ni hatari sana hapa duniani, ni kucheza na imani za watu, au Serikali. Ni hatari sana
 
Hii ni mihemko isiyokuwa na maana ktk utumishi wa umma. Amemsimamisha kazi kwa kutumia kifungu kipi cha sheria za kazi? Kuna mahali pameandikwa kuwa mtumishi wa umma akichana kohorani asimamishwe kazi? Aache hizo. Analogia Malenga,

Sent using Jamii Forums mobile app
Anasimamishwa kazi kwa kuhatarisha amani na utulivu wa Nchi. Kifungu sijui ni namba ngapi lakini uhakika ni kuwa kifungu hicho kipo!
 
Huyo mtumishi amevunja kifungu kipi cha sheria za kazi? Unaweza kututajia hicho kifungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazini yuko salama hajavunja kifungu chochote, ila kama mtanzania, amevinja kifungu kwa kuhatarisha amani ya nchi, ambayo ni mbaya zaidi afadhali angeviunja kifungu cha kazi
 
Kwahiyo unataka kusema upagani haukubaliki Tanzania?

#Bagwell
Upagani unakubalika pia ila pasipo kuwa unafanya vurugu kwa wanaomwamini Mungu kwa kutumia Maandiko Matakatifu. Upagani pia ni dini, ila wao maandiko matakatifu hawana, sijawahi kuyasikia wala kuyaona
 
Mimi naona wangempotezea tu kwani hamna nakala nyingine za hiko kitabu hapo kilosa?
Bendera za taifa zipo kibao nchini, kamata moja choma moto hadharani, itemee mate, ikanyage, iite mavi, tuje tukushangilie.
 
Kazini yuko salama hajavunja kifungu chochote, ila kama mtanzania, amevinja kifungu kwa kuhatarisha amani ya nchi, ambayo ni mbaya zaidi afadhali angeviunja kifungu cha kazi

Kazi gani serikalini anakuwa salama kwa kushtakiwa kosa la jinai?
 
Kazi gani serikalini anakuwa salama kwa kushtakiwa kosa la jinai?
Hapana, hayuko salama. Nilimaanisha hajafanya kosa ofisini, ila amefanya kosa la jinai katika mazingira mengine ambayo siyo ya ofisini. Ni kama mtu mfanyakazi wa umma apigane na kujeruhi mtu mtaani. Ofisini anakuwa hajafanya kosa katika mazingira hayo
 
hakuna kitu hatari kama kuchezea au kukejeli imani za watu wengine.
haitoshi tu kufukuzwa kazi bali pia akikutikana na hatia afungwe gerezani ili iwe fundisho kwa wenye tabia za kudhihaki imani za wengine.

pia niwapongeze waislaam wa eneo hilo kwa kuonyesha subira na uvumilivu bila kuchukua hatua mkononi hakika mmeonyesha ukomavu sana !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No correlation try again

Kumbe hata hujui unachosema.... umesema wangempotezea tu "kwani kilosa hakuna nakala nyingine za hiko kitabu"? Nikakurahisishia kwa kukupa mfano, tanzania kuna pcs nyingi sana za bendera, ikipotea moja hakuna hasara, sasa wewe hiyo moja ifanyie dhihaka uone.
 
Fikiria tena kama kuna uhusiano !?
Acha kuropokwa, hv huko mashuleni mlienda somea ujinga?
 
Back
Top Bottom