tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
haina dini lakini inatambua uwepo wa dini mbalimbali ikiwemo hiyo ya waislam.Sirikali si haina dini.
#Bagwell
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haina dini lakini inatambua uwepo wa dini mbalimbali ikiwemo hiyo ya waislam.Sirikali si haina dini.
#Bagwell
Punguza jazbaHii ndio elimu mnayo pewa kwenye Sunday schools na zile mnaziita maombi kipindi cha mitihani.hakuna.jaziba hapa.
Mbona wakristo na waislam wanachoma matungili na hirizi za waumini wa dini za kimila? Tena wanayaita ushirikina?Mkuu japokuwa hajuani lakini unatakiwa ujue kwamba kuna sheria na kuna order, sheria atakama haipo haiwezekani mtu ana hatarisha amani ya inchi alafu unazungumzia sheria. Ebu sema hapa wapi umewahi kuona waislam wanachana bibilia? Kama ameweza kuchana Qur'an manaake ata kuua anaweza na kama ameweza kufanya hilo jje ukimukuta ofisini na wewe niwa imani nyingine ataweza kukupa huduma?
Kosa kubwa sana ambalo linaweza kuigawa nchi vipande viwili. Hiyo adhabu haitoshi kabisa KUFANYA VITENDO VYA KUDHARAU DINI FURANI kunaweza kusababisha vita kati ya dini moja na nyingine. Kumbuka ishu ya kuchinja ilivyoleta matatizo makubwa miaka kadhaa iliyopitaWamemsimamisha kazi kwa sababu za kijinga sana.
Hilo nalo ni kosa?
Kosa alilotenda halihusiani na Kazi yake, hilo nikosa kalitenda uraiani yeye Kama yeye, kisheria anapaswa kushughulikiwa Kwa utaratibu nje ya Kazi yake, hivyo ukimfukuza Kazi akaja kukushtaki anadai fidia unalipa hilo liko wazi maaana Hakuna kosa lolote alilo tenda eneo la Kazi au linalohusiana na Kazi Ya mwajiri wakeNi kosa kwa sababu anasababisha migongano ambayo si ya lazima kwenye jamii. Hivi hata ukiuliza sababu ya kufanya alichofanya ni nini? Sifa tu za kijinga na utoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nasikia ukichana hio unakuwa chizi, kumbe fix tu!
Kwanini iwe sahivi wakati Serikali haina dini?? Na kuchana kwake hicho kitabu kuna uhusiano gani na kazi yake??
#Bagwell
Huyo mtumishi amevunja kifungu kipi cha sheria za kazi? Unaweza kututajia hicho kifungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Do you know the reason behind the whole saga? Kuchoma kohorani na kusimamishwa kazi vinahusianaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uvunjifu wa amani upo kwenye sheria za kazi?
Ndio muache kiherehere cha kupesti sheria na kuzipachika mitandaoni!Nikajua utaleta tafsiri kumbe na wewe umekuja na porojo.
Hivi hapo kuna sheria yoyote ya kazi aliyokiuka. Mimi nadhani kukamatwa ni sawa ila kusimamishwa kazi inahusianaje na hilo tukio. Lazima viongozi wetu wawe wanaangliq sheriq zaidi badala ya utashi wao binafsi
Hii ni mihemko isiyokuwa na maana ktk utumishi wa umma. Amemsimamisha kazi kwa kutumia kifungu kipi cha sheria za kazi? Kuna mahali pameandikwa kuwa mtumishi wa umma akichana kohorani asimamishwe kazi? Aache hizo. Analogia Malenga,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio muache kiherehere cha kupesti sheria na kuzipachika mitandaoni!
Hiyo ni taaluma ya watu wanakaa darasani miaka nane na zaidi kujifunza!
Wewe mbumbumbu ngumbaru standard two failure unakimbia google unakopi na kubandika tu!
Sent using Jamii Forums mobile app