[emoji23] [emoji23]Woyoooooo unaniachaje kwa mfano mm jamani mashavu mashavu kibonge mm
Mtajeee huyu mrembo, au ni miss natafuta nn?Niache niseme, moyo wangu usiheme,
niache niseme, niutokomeze ukame,
ukame wa penzi nitoke, changu kipenzi nipe niburudike,
jina si lazima nikutaje, maana wajua nakupendaje,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Evelyn mama sikia kilio cha mtu mzima ndani ya shairiNgoja niombe kalamu, nitume zangu salamu,
Kwa mtoto wa kilamu, uzurie ka tunda damu,
Mwingine simfahamu, yeye tu anipa hamu,
Kwake naziba fahamu, anipavyo nafahamu....
Nakupenda Evelyn Salt.
HahahahaaaaYa laki 2 bby
Mjina mrefu hahusiki na Demiss aiseeDemiss mpendwa, mjina mrefu uwe makiniye,
Kwao ni kule mpwampwa, aliko rafikiye,
Macho ukae umepondwa, aje akupendaye,
Ubeti huu ni kwa ajili yako, toka kwa yule anayekuota!
AiseeAcha kelele
Asipokujibu ni pm.... Akikujibu nitagEhee hapo sawa unahitaji nguo ya bei gani ya sikukuu.
Hahahaha mkuu we ni mchochezi.Asipokujibu ni pm.... Akikujibu nitag
Kwann mkuuHahahaha mkuu we ni mchochezi.
Sasa kama akijibu nikutag kwamba unataka unipige na chini uongeze dau au.Kwann mkuu
Hahahahaha nitaje tu usiogopeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niache niseme, moyo wangu usiheme,
niache niseme, niutokomeze ukame,
ukame wa penzi nitoke, changu kipenzi nipe niburudike,
jina si lazima nikutaje, maana wajua nakupendaje,
HahahahahahahUtafanywa msukule, au jamaa atakutoa kafara
Hahahahahaha loooh jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee wewe jamaa ni fala[emoji23]
Hapana mimi Hajar ni kila kitu kwangu... Nilijua ulipotaja masuala ya kumnunulia nguo haezi chomoa ndo maanaSasa kama akijibu nikutag kwamba unataka unipige na chini uongeze dau au.
Waoooooh jaman majaribu haya ujueeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Demiss mpendwa, mjina mrefu uwe makiniye,
Kwao ni kule mpwampwa, aliko rafikiye,
Macho ukae umepondwa, aje akupendaye,
Ubeti huu ni kwa ajili yako, toka kwa yule anayekuota!
HahahahaHapana mimi Hajar ni kila kitu kwangu... Nilijua ulipotaja masuala ya kumnunulia nguo haezi chomoa ndo maana
Comment ipi? [emoji23][emoji23][emoji23]