Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

Niache niseme, moyo wangu usiheme,


niache niseme, niutokomeze ukame,


ukame wa penzi nitoke, changu kipenzi nipe niburudike,


jina si lazima nikutaje, maana wajua nakupendaje,
Mtajeee huyu mrembo, au ni miss natafuta nn?
 
Ngoja niombe kalamu, nitume zangu salamu,
Kwa mtoto wa kilamu, uzurie ka tunda damu,
Mwingine simfahamu, yeye tu anipa hamu,
Kwake naziba fahamu, anipavyo nafahamu....

Nakupenda Evelyn Salt.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Evelyn mama sikia kilio cha mtu mzima ndani ya shairi
 
Kwa Leo nakupa zako sifa,natamani tuwe ndani ya kopa
Kwa jina waitwa miss nifa,forex tupia chini ya sofa,
Najua mamaa utanifaa,kukukubali wala isiwe kosa
Mrembo ww ni kifaa,Walaaahi nakutolea posa
 
Demiss mpendwa, mjina mrefu uwe makiniye,
Kwao ni kule mpwampwa, aliko rafikiye,
Macho ukae umepondwa, aje akupendaye,
Ubeti huu ni kwa ajili yako, toka kwa yule anayekuota!
Waoooooh jaman majaribu haya ujueeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom