yani huyu mwanaume jamanChief sio kwa bakora hilo aiseee
Big up
Beti maridhawa, zenye maana sawia,Kwako Hassan Mambosasa
Majira hubadilika,
Miaka inasogea,
Nyasi nazo hunyauka,
Mimea kujiozea,
Lakini nina hakika,
Wewe hutonipotea.
Wewe unayo thamani,
Ya upendo ulo kweli,
U pekee duniani,
Ambaye wastahili,
Kukupa yalo moyoni,
Kwa pendo letu wawili.
Mi nawe twapendezana,
Kwa pendo lililoshiba,
Hakika tunatoshana,
Kwa dhati pia kwa huba,
Pendo tunalopeana,
Linayo tele mahaba.
Wanipa mie furaha,
U zawadi maishani,
Kuwa nawe kuna raha,
Ni raha iso kifani,
Nafurahi kwa madaha
me nakupenda tu laaziz wanguSingle touch double manifestations
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inaonekana bakora anazokuchapa sio za nchi hiiyani huyu mwanaume jaman
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Ewaaaa acha niringe mie kwakukupata kipenzi cha moyo wangu,unanifanya kila siku nakuona mpya,nakupenda wewe mwifwa wangu
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]me nakupenda tu laaziz wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Inaonekana bakora anazokuchapa sio za nchi hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hebu mtaje.Jicho lako ni kama kobe,mgongo wako mithili ya mamba mtoa roho!
E mupenzi nikujutiae,uhali gani huko jehanam..?
figure yako namba tasa,ni kama nafungua kurasa
uangaliapo mboga huchacha,kwa tabasam swadakta!.
You're always welcome sweetbae [emoji9][emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji182] [emoji182] [emoji182] i ddint expect this?!! thank you bae[emoji3] [emoji3]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mnanifurahisha sana leo.Moyo wangu, moyo wangu unauadhibu,
Basi fanya japo taratibu!
Niondolee madhila yaliyozidia hesabu,
Utaniuwa mwana wa mwenzio!
Taratibu, twende taratibu basi taratibu,
Nitese tu kidogo ukipata sababu!
Ukizidisha moyo wangu wauharibu,
Ukizidisha utaniuwa mwenzio!
[emoji120] [emoji120] [emoji120]You're always welcome sweetbae [emoji9]
[emoji11][emoji7]
Nimekuota leo[emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji3] [emoji3] umeotaje?Nimekuota leo
Unakuja jijin la bashite [emoji41][emoji3] [emoji3] umeotaje?
nipo huku baeUnakuja jijin la bashite [emoji41]
Hmm mpenz toka lini,nipo huku bae
masiku kibao..nakutania nko kolomijeHmm mpenz toka lini,
[emoji26]jaman[emoji26]masiku kibao..nakutania nko kolomije
Naangalia mpira nitakujibuBeti maridhawa, zenye maana sawia,
Zenye mizani sawa, mpaka ujumbe ukanifikia,
Moyo ni kawa, mengi hufunikia,
Nasema shukriya, machache umefungikia.
Ujasiri umejizazia, binti usiye na ria,
Jambo kulifikishia, pasipo udhia,
Walimwengu wakisikia, bila kukukasirikia,
Nasema shukriya, machache umefungukia.
Sina zaidi ya asante, kwa nilopokea,
Baraka nazo upate, mema yatakuneemea,
Kwa yako machache, uliyonighania,
Nasema shukriya, Demiss kwa uloniambia,
Nashindwa kuendelea, nina hofu,
Mganga ananiangalia, atanipa upofu,
Mali yake kuighania, litamtoka povu,
Nasema shukriya, Demiss kwa uloniambia