Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
ha ha ha ha kiruuuuu umenikumbusha pale kwenye migombaManka wangu nakupenda,
Hakyamungu nakupenda,
Yesu na maria nakupenda,
Yani ninavyokupenda niko tayari kwenda kuiba dukani kwa urassa nikupe chochote unachotaka.
Wako Mangi.