Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

Moyo wangu, moyo wangu unauadhibu,
Basi fanya japo taratibu!
Niondolee madhila yaliyozidia hesabu,
Utaniuwa mwana wa mwenzio!

Taratibu, twende taratibu basi taratibu,
Nitese tu kidogo ukipata sababu!
Ukizidisha moyo wangu wauharibu,
Ukizidisha utaniuwa mwenzio!
Watu weweeeee.... Shairi tamu hadi jogoo anawika
 
Dinazarde uko wapi, Gogle ninaangamia
Ukimya wako mkuki, moyoni unanichoma
Jitokeze tafadhali, unipe jibu murua
Mtoto kama asali, nipate kujilambia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hebu mtaje.

Ukikaa naye kula si vinachacha kabla ya kula sasa
Mkuu si mpenzi wangu lkn ni wa jamaa fulani!,hivyo nimerusha jiwe gizani!
 
Back
Top Bottom