Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

Namuheshimu Mwanamke/Mama /Binti Yule Aliyeamua Kuamka Na Kufanya Biashara Yake Mwenywe Ile Iliyohalali Kuuza Mitumba, Karanga, Kuna Wale Wanauza Vyakula, Waachoma Mahindi, Wanauza Nyanya, Mkaa,Kiufupi Wamekataa Kua Tegemezi Namna Yoyote. MUNGU Awainue Zaidi
 
Mbn hujamuandikia Mzigua
 
Itanibidi nikuoe faiza
Mapenzi ya kinyemela mimi siyawezi
Nitamtuma mshenga
Alete barua,alete barua ya kukuoa
Macho yangu yamekuona
Faiza fox kifaa
Moyo wangu umetamani
Faiza fox kifaa
 
I prefer nisitungiwe shairi kuliko utungiwe ubeti very tasteless afu unalazimika kusema asante kuua soo.

Daadeqi.

Sikubali nakushushua weeeee ujiongeze.

Watasema maneno ya mkosaji but poa tu😛😛
 
Back
Top Bottom