Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Heeh yamekua hayo tena?Mpenzi yuko wapi sasa [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heeh yamekua hayo tena?Mpenzi yuko wapi sasa [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heeh yamekua hayo tena?
Kweli nimeamini unafki upo duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha mambo ya ajabu kijana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli nimeamini unafki upo duniani [emoji23]
we ndo G wake??
liko wap?
Aisee[emoji122] [emoji122]Ndo mimi
Msalimie shemeji mwenzaAisee[emoji122] [emoji122]
ha ha haa natumain atapasoma hapaMsalimie shemeji mwenza
Mbn hujamuandikia MziguaNamuheshimu Mwanamke/Mama /Binti Yule Aliyeamua Kuamka Na Kufanya Biashara Yake Mwenywe Ile Iliyohalali Kuuza Mitumba, Karanga, Kuna Wale Wanauza Vyakula, Waachoma Mahindi, Wanauza Nyanya, Mkaa,Kiufupi Wamekataa Kua Tegemezi Namna Yoyote. MUNGU Awainue Zaidi
Asante kwa kunipenda, sogea ulile tunda,hahahahahaha
Madame B nakuzimia....wengine wanatania,
Mahali nitamalizia , hata ikichukua miaka mia
For jf use only
Nae yumo humo humoMbn hujamuandikia Mzigua
Mfano what is this?Itanibidi nikuoe faiza
Mapenzi ya kinyemela mimi siyawezi
Nitamtuma mshenga
Alete barua,alete barua ya kukuoa
Macho yangu yamekuona
Faiza fox kifaa
Moyo wangu umetamani
Faiza fox kifaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfano what is this?
Naenda hivi one time.😀😀
Yaani mpo wengi mno kiasi cha kuwaza labda niwatungie wale ambao siwakubali labda maana wao ni wachache sana