Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

Hahaha hili sio shairi itakuwa verse kwenye bongo flavor!!!!
 
Mmh Jamii Forum, ni uwanja mpana usifikiri ni column
Hapa tunaelimika, na pia kuburudika
Cha msingi kutulia, madharau achia Tulia
Muhimu kuheshimiana, hata kama mtajamiiana
Kuna wengi wasichana, ila wengine kina mama
Usihadaike na avatar, kuna wengine hawapo Dar
Ila mapenzi hayana formula, ukimpata we fumua
Tunayasoma muda mwingi, watu wakishaingizwa kingi
Wanakuja na threads mia, tena wakilia lia
JF nakuzimia, nitakuheshimu na kukuvumilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…