Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

Mmh Jamii Forum, ni uwanja mpana usifikiri ni column
Hapa tunaelimika, na pia kuburudika
Cha msingi kutulia, madharau achia Tulia
Muhimu kuheshimiana, hata kama mtajamiiana
Kuna wengi wasichana, ila wengine kina mama
Usihadaike na avatar, kuna wengine hawapo Dar
Ila mapenzi hayana formula, ukimpata we fumua
Tunayasoma muda mwingi, watu wakishaingizwa kingi
Wanakuja na threads mia, tena wakilia lia
JF nakuzimia, nitakuheshimu na kukuvumilia.
Jf hatokujibu ng'o
 
Mtoto umeshepuka, kifuani saa sita
Nyuma umejaaliwa, sura nayo umepewa
Picha nikikuvutia, bafuni nakimbilia
Nyuma nakushikilia, na makofi nakupiga
Mabusu nakumwagia, ndimi twazikutanisha
Kisha nakuinamisha, kimoja nakumwagia


NB: umeshepuka = una shape/shepu nzuri.

Cc Dinazarde
 
HADITHI INAYOKUJA, NI YA SUNGURA SIKIA



Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia,

Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,

Alitoka siku moja, njaa aliposikia,

Njaa aliposikia, Sungura nakuambia


Siku ile akaenda, Porini kutembelea,

Akayaona matunda, mtini yameenea,

Sungura akayapenda, mtini akasogea,

Mtini akasogea, Sungura nakuambia.


Sungura karukaruka, lakini hakufikia,

Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,

Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,

Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.


Mtazame hapo juu Sungura amelegea,

Mtazame na miguu, matunda anarukia,

Atafanya sikukuu, matunda akifikia,

Matunda akifikia, Sungura nakuambia.


Karuka tena karuka, matunda akarukia,

Mwisho wake akachoka, kachoka hata mkia,

Penye mti akatoka, pembeni akasogea,

Pembeni akasogea, Sungura nakuambia.


“Sizitaki mbichi hizi” Sungura akagumia,

“Naona nafanya kazi, bila faida kujua”,

Yakamtoka machozi matunda akalilia,

Matunda akalilia, Sungura nakuambia.


Sio kama hakutaka, sasa nakupasulia,

Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia

Tunajua hakufika, alichoka kurukia,

Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.


Hadithi nimemaliza, nimekwisha simulia,

Jambo moja sikiliza, rafiki yangu sikta,

Usikose kujikaza, mazuri kukazania,

Utamshinda Sungura, utapata mbivu hizi.

Hili shahiri liendee wanaume wa jf wenye tabia za sungura huyu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nakupenda ...ia
nisipoona post yako jf ninalia,
nazani wewe ndiyo zawadi jf iliyonipatia
avata yako inamkia, na kiblauz cha punda mlia kiufupi umejazia
mimi ni nania ndotoni unanijia unizalie watoto pia
 
Back
Top Bottom