Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
ShemejiHahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShemejiHahahaha
Ya fofreComment ipi? [emoji23][emoji23][emoji23]
HatariEeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Aiseee [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shunie acha kichwa ngumu, fungulia vidume mlango
Au unaogopa uchungu, utapoamka na kuona tongotongo?
Usiwafungie kwenye chungu, na kuwapa madongo
Chako kitako km chungu, ruhusu wakitolee usongo
Mfyuuuu humuudhi mzungu, na zaid zaid mbongo
[emoji16][emoji16][emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Usimmwagie kimoja bali angalau viwili
Dada yako kaandikiwa shairi ata kuja hataki ngoja tumtafute[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Duuh!Naam,
The heading above is concerned!
Tunga shairi lenye ubeti mmoja au zaidi kwa mwanamke yeyote ambaye unampenda hapa jf.
Shairi linaweza kuwa la kimapokeo yaani lenye vina na mizani au la kisasa lisilozingatia urari wa vina na mizani...
Mimi ninamtungia Hajar, mwanamke wa ndoto zangu hapa JF.
"Nampenda msichana, Mnyange mrembo sana
Hajar ndo lake jina, hakuna wa kumfanana
Kichwani ushungi sana, nywele hutoziona
Mwanamke wa ndoto zangu, ni Hajar hakyanani "
Haya.. Tuendelee kuwatungia mashairi.. Yaani wasipoelewa kwa mashahiri haya, basi hatuna namna ingine..
==========================
Ona shairi la Psych Counselor kwa Demiss
" Demiss my love, nimekupenda siku nyingi.
Pembe langu la ndovu, lanitesa nikiona lako wigi.
Umati jf wanishangaa, napoandika shairi hili.
Uko wapi Demiss wangu, njoo ua la moyo wangu."
Hahaaa. LolWapo wengi mno
Mkuu sio kirahisi hvo, Samaki wagumu hawa kula chamboMkuu nmecheka sana hahaaa....hzi swaga lazima uvue samaki hahaaa
awwwww.....thanks so much my sweet mangiiNgoja niombe kalamu, nitume zangu salamu,
Kwa mtoto wa kilamu, uzurie ka tunda damu,
Mwingine simfahamu, yeye tu anipa hamu,
Kwake naziba fahamu, anipavyo nafahamu....
Nakupenda Evelyn Salt.
Inna kakusikia... Haha... Hii ni tenzi siyo shairi [emoji23][emoji23][emoji23]moyo wangu ume lizia,
kuku penda wewe Inna
mwingine tena siwazi,
usije niumiza mtima
Nina muomba mwenyezi
maisha nikae nawe
Pendo langu mim nawe
halihitaji wapambe
Naomba sana uelewe
usi hofu wenginewe
wabaki na simulizi,
watuige wapagawe
Where were you?awwwww.....thanks so much my sweet mangii
Sijui nirap namie 😀
Unajua vile nakupendaga sana
Kwani Evelyn Salt ni nani lakini?awwwww.....thanks so much my sweet mangii
Sijui nirap namie 😀
Unajua vile nakupendaga sana
Manka wangu nakupenda,awwwww.....thanks so much my sweet mangii
Sijui nirap namie 😀
Unajua vile nakupendaga sana
Nimpe nani maneno, matamu kama asaliDuuh!
Maneno yote ya Hajar tu hayo lol.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]