MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Mkuu soma hapo juu kwenye thread mbona nimeandika muda
Eti mkuu,una unafahamu washindi wanakula $ ngapi ....... na je thamani ya tuzo zinalingana kwa wote au baadhi ya kategori zina thamani kubwa zaidi ya zingine .......??
 
Eti mkuu,una unafahamu washindi wanakula $ ngapi ....... na je thamani ya tuzo zinalingana kwa wote au baadhi ya kategori zina thamani kubwa zaidi ya zingine .......??
Tuzo za
best female
Best male
Song of the year
Artist of year
Ndio zenye thamani kubwa kuliko zote
 
Mbna wewe hujaenda kuchukua tuzo ya umbea...

Best mbea of the year........ Bravo one
Mods wa humu wamefuta uzi wangu ulikua unaendana na huu wakauweka wa kwake...sijui wana undugu ama nilitegemea uzi ungeunganishwa na mwingine unaofanana na huu lakini umefutwa kabisa. Nimeishia kucheka tu. Labda ndo mtoa habari wao waliomchagua kwa leo kwa kutupa updates.
 
Back
Top Bottom