MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Wasanii Mapema wakiingia ukumbini
1477155441292.jpg

1477155454194.jpg
 
Mods wa humu wamefuta uzi wangu ulikua unaendana na huu wakauweka wa kwake...sijui wana undugu ama nilitegemea uzi ungeunganishwa na mwingine unaofanana na huu lakini umefutwa kabisa. Nimeishia kucheka tu. Labda ndo mtoa habari wao waliomchagua kwa leo kwa kutupa updates.
Itakuwa wanajuana hawa sio bure
 
Back
Top Bottom