MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Leo Simba akibeba tuzo hata moja, nitatembea utupu pale posta siku nzima juakali kweupe. [HASHTAG]#period[/HASHTAG]
Hahahaha!! Mtani usije kukimbia kivuli chako tu maana kwenye vile vipengele viwili ambavyo wapo pamoja na wizkid ninachokiona ni kuwa watagawana tuzo! Simba atashinda kipengele kimoja wapo na Wiz atachukua kingine..
 
DOWNLOAD MOBDRO ON GOOGLE SIYO PLAYSTORE UKIMALIZA NTAKUAMBIA JINSI YA KUIPATA
1477158354617.jpg

Haipo hyo MTV africa nimezijaribu zote hazionyeshi tuzo labda twendeni facebook kwenye page ya mtv afrika ndo wanaonyesha live
 
Sitegemei tanzania kupata tuzo yoyote
Naona zikienda kenya na nigeria tu
Tuzo pekee itakayoenda Kenya ni Best Group..
Wiz na Simba watagawana tuzo kwenye vile vipengele viwili ambavyo wakonominated.. Simba atashinda kimoja wapo alafu Wiz naye atashinda kingine
 
Tuzo pekee itakayoenda Kenya ni Best Group..
Wiz na Simba watagawana tuzo kwenye vile vipengele viwili ambavyo wakonominated.. Simba atashinda kimoja wapo alafu Wiz naye atashinda kingine
Tupo hapa utaniambia bongo haiji hata 1
 
Ila mimi nilitamani sana mwaka jana Wiz angechukua Artist of the year hii ingeweka njia nyeupe mwaka huu Simba kuchukua hiyo tuzo kama amesimama..

Ninatabiri Simba atapewa Best Male
Alafu Wiz atapew Artist of the year..

Itakuwa hivyo au watabadilishana yani Wiz best male Simba Artist of the year..
 
Back
Top Bottom