MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

hiyo hayupo wizkid kweli kama yupo tumeikosa tena ...tunabd watanzania tuzae sanaa nigeria wapo watu milion 900+ sisi tupo mil 45+ tutawashinda kweli
Nadhani licha ya kura huwa kuna vigezo vya kupigiwa kura na nchi nyingi zaidi ndo zina determine mshindi ka ilivo BBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…