Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
beef za kipuuzi nani angempigia kura mke wake anatukana watu kila siku?Yani kama kaonewa hahahaahh
ahahaa ulikua mond angebeba?usiku mwemani
Umeanza kupagawa auWeweeee chiiibuu chiibuuuuu
Inabidi aongeze mazoezi sauti ilikua chini though the performance was goodDiamond ameperform vzr ila anatakiwa ku improve kwenye live performance hapo sauti ilikuwa tofauti all in all I proud of him he knows how to dominate a stage
tulisema huku mkuu tukaambiwa tunamuonea zari wivumond Tatizo Kapata pesa kidogo Akaanza Bifu na Ivana
Hili Ni Tatizo
Mond angetulia mambo ya mabifu mabifu yasiyo kuwa ya mana angeacha tuu
Ivan anapesa mingi mingi tuu Jaman
Wana nigeria wapo 170+ mkuu iyo 900[emoji477]hiyo hayupo wizkid kweli kama yupo tumeikosa tena ...tunabd watanzania tuzae sanaa nigeria wapo watu milion 900+ sisi tupo mil 45+ tutawashinda kweli
Ilo ndo fundishooo tunalolipataYaan Raha za hzi tunzo mwaka huu watu watarudi kimyaaaa.....
Maana tulikazania u mondicaly na kibakulism badala ya kupiga kura
aaahh!acha tu!ahahaa ulikua mond angebeba?
sio wote wana smarthiyo hayupo wizkid kweli kama yupo tumeikosa tena ...tunabd watanzania tuzae sanaa nigeria wapo watu milion 900+ sisi tupo mil 45+ tutawashinda kweli
Tuwekeni ushabiki pembeni ila kiukweli diamond alikuwa kama anatetemeka flani halafu mda mwingi kacheza na si kuimbaMsizuge vipof nadhan mmeiona performance ya kaka mkuu wa bongo fleva
What a perfomance!!! Diamond anajua jukwaani...hebu ni msanii gani leo kamzidi chibu?
Mbona mapema bado 3usiku mwemani
Mbona mkewe ni mwanaume ki south wanawake huoa?Semenya anapendwa jamani
Sio ana bahati, wzkid yuko na talentWizkid ana bahati ucku wa leo
Wizkid ana bahati ucku wa leo
You tube wamekata aiseeDaah live streaming imekata [emoji35]