Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tungekua hatuangalii kweli tungekuamini.Diamooond amenyakuaa
Watu woyoooooo
[emoji23] [emoji23] sio sababu bwanahiyo hayupo wizkid kweli kama yupo tumeikosa tena ...tunabd watanzania tuzae sanaa nigeria wapo watu milion 900+ sisi tupo mil 45+ tutawashinda kweli
Ila si wote wanaotumia social networks kumbukahiyo hayupo wizkid kweli kama yupo tumeikosa tena ...tunabd watanzania tuzae sanaa nigeria wapo watu milion 900+ sisi tupo mil 45+ tutawashinda kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] loohNajuta bora ningelala...
U cant believe machozi yananibubujika kwa simanzi...
Ndugu zangu nimechanganyikiwa kwakweli
Wizkid huwa hana makuu wala shobo na MTU acha ashinde tuHalafu hakuomba kura eeh bado mtv ema nov 6
Sure hata mwaka jana davido alivyochukua alionyesha loveWizkid huwa hana makuu wala shobo na MTU acha ashinde tu
Sauti Sol walisikika vizuri kuanzia mwanzo hadi mwisho wa performance, yeye aliposhuka kwenye kiti alikuwa anasikika ila akaanza kutembea na akapotea kwa sekunde kadhaaMbona kaeleweka vizuri tu.
Aliweka posti moja tu huko insta then akapotezea kama kawaida yake mpige kura msipige kura kwake sawa tuHalafu hakuomba kura eeh bado mtv ema nov 6
Unauliza swal ambalo tyr una jibu lake, niaj ww,,,,,, [HASHTAG]#chenga[/HASHTAG]Kwani tuzo zinatolewa ukiwa na swagga eeh??
[emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75]Doooctooor....!!
Jamani niitieni dokta nahisi kufakufa...
Jamani nafwaaa...
Nitaiweka wapi sura yanguu...
mil 900?? acha kupotosha watu.hiyo hayupo wizkid kweli kama yupo tumeikosa tena ...tunabd watanzania tuzae sanaa nigeria wapo watu milion 900+ sisi tupo mil 45+ tutawashinda kweli
Hata mimi roho inaniuma daimond kukosa tunzo ya best male mkuu.Ndio nimerusha na sitoacha kumshabikia Diamond. Ila ukweli lazima uwe ukweli. Wizkid nae anapiga kazi sana kwa muda pia na tuzo habebadi kihivyoooooi...Davido hayupo nae kabeba...nasikiliza pia miziki ya nchini kwao...kama hupendi songa mbele.
Naona bado unanitafuta utachoka tu na mimi.
Siishi maisha feki kama wewe kwa kufonoa na nyuma mengine.
Kashinda nimefurahi ulitaka nilie...
Nyie ndio eale mnahangaika huku kule mkiona mnashindwa badala ya kupiga buti na kuendelea kupaaa, mnaishia pyuuuuuuu