MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Diamond ameperform vzr ila anatakiwa ku improve kwenye live performance hapo sauti ilikuwa tofauti all in all I proud of him he knows how to dominate a stage
 
Mondi Nyooosha Baba...haina kuremba...
Kesho alfajiri ntakuepo AIRPORT....
Angalau ssiv ntalala kwa amani
 
Doooctooor....!!
Jamani niitieni dokta nahisi kufakufa...
Jamani nafwaaa...
Nitaiweka wapi sura yanguu...
[emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75]
 
Ndio nimerusha na sitoacha kumshabikia Diamond. Ila ukweli lazima uwe ukweli. Wizkid nae anapiga kazi sana kwa muda pia na tuzo habebadi kihivyoooooi...Davido hayupo nae kabeba...nasikiliza pia miziki ya nchini kwao...kama hupendi songa mbele.

Naona bado unanitafuta utachoka tu na mimi.

Siishi maisha feki kama wewe kwa kufonoa na nyuma mengine.


Kashinda nimefurahi ulitaka nilie...

Nyie ndio eale mnahangaika huku kule mkiona mnashindwa badala ya kupiga buti na kuendelea kupaaa, mnaishia pyuuuuuuu
Hata mimi roho inaniuma daimond kukosa tunzo ya best male mkuu.
Mimi pia ni mzalendo wa kweli hujui tu hapa nilipo nina unyonge sana watanzania wenzangu kukosa tunzo Vmoney, Navy kenzo[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Back
Top Bottom