DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Mwambie atapigwa huyooo watu wana hasira za mbogo aliyejeruhiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unauliza swal ambalo tyr una jibu lake, niaj ww,,,,,, [HASHTAG]#chenga[/HASHTAG]
mond Tatizo Kapata pesa kidogo Akaanza Bifu na Ivana
Hili Ni Tatizo
Mond angetulia mambo ya mabifu mabifu yasiyo kuwa ya mana angeacha tuu
Ivan anapesa mingi mingi tuu Jaman
Asante mkuu nina angalia liveIngia you tube andika mtv mama 2016 ive
Wanaonyesha live ndugu
Sio ana bahati, wzkid yuko na talent
Sio ana bahati, wzkid yuko
Alikuwa kama anatetemeka flani ila kudance katenda hakiInabidi aongeze mazoezi sauti ilikua chini though the performance was good
Alkuw na pain after kukosa tuzoTuwekeni ushabiki pembeni ila kiukweli diamond alikuwa kama anatetemeka flani halafu mda mwingi kacheza na si kuimba
Mendez amekanyaga waya [emoji23]Mbona livestream sion tena jaman
Hafu timu yake ikifocus kumtukana Kiba, Mara wema timu zari wakawa wanahangaika na mama diamond na ESMA kumshambulia wakasahau kupiga kurabeef za kipuuzi nani angempigia kura mke wake anatukana watu kila siku?
Kwahiyo alikua anacheza kwa kutetemeka labda ndio style mpyaTuwekeni ushabiki pembeni ila kiukweli diamond alikuwa kama anatetemeka flani halafu mda mwingi kacheza na si kuimba
Aaaaaaah raia wamevurugwa kabisaaaaaaMwambie atapigwa huyooo watu wana hasira za mbogo aliyejeruhiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kuimba live inahtaji mazoezi sana kuomba huku una dance kukata pumzi hutokea na ile cheza yao kajitahidi.Alikuwa kama anatetemeka flani ila kudance katenda haki