cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
wewe mama Mungu anakuona birthday ya zari mond alimfanyia nini ivan?
Labda nilipitwa, ilikuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe mama Mungu anakuona birthday ya zari mond alimfanyia nini ivan?
Wanapokosea pia tuwarekebishe ili waboreshe sanaa yao, kwa mfano diamond alienda kuimba au kucheza pale? Kama alilipwa kwa lengo la kufanya vyote, sidhani kama amewatendea haki watazamaji na waliomlipa ujira.Ilikuwa haijulikani muimbaji ni nani na dancers ni wakina nani kwani alikuwa amefocus na kudance huku muziki ulio nyuma ukimbeba.Yani watu humu wanaleta u team wa kijnga jnga kila kitu ni kupinga tu,hao wasanii wetu wameenda kuwakilsha taifa letu
Inaonekana Hufatulik Mambo ya socialJamani muache kutunga uongo, umeona lini wakigombana?
Ataachaje kutetemeka huku anaona categories zinaishiaAlikuwa kama anatetemeka flani ila kudance katenda haki
Kuimba huku una dance si mchezo kwa kweli yataka mazoeziThanx sister D kwa kuelewa
Sio.kaz nyepesi kujua pengine ulikua una tuzo unategemea halaf imekosekanaAlikuwa kama anatetemeka flani ila kudance katenda haki
Mbona Ali kiba ameweza...Sikuamini kama Ali Kiba ndo kaimba live vile..Unajua kuimba live inahtaji mazoezi sana kuomba huku una dance kukata pumzi hutokea na ile cheza yao kajitahidi.
Wanapokosea pia tuwarekebishe ili waboreshe sanaa yao, kwa mfano diamond alienda kuimba au kucheza pale? Kama alilipwa kwa lengo la kufanya vyote, sidhani kama amewatendea haki watazamaji na waliomlipa ujira.Ilikuwa haijulikani muimbaji ni nani na dancers ni wakina nani kwani alikuwa amefocus na kudance huku muziki ulio nyuma ukimbeba.
Sio guest bwana rest housekinacho niuma zaid ni kwamba baada ya tuzo hiz Diamond ata lala kwake ila alikiba ata lala guest
#matabaka_sipendi
Hahahaha yani show ilikuwa yakawaida sanaAtaachaje kutetemeka huku anaona categories zinaishia
Naongelea performance jukwaani..Kachukua tuzo au
Hahhahahahaha hahahahahah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona majibu ya jazba yameanza watu washavurugwa ndugu yangu muuliza swali watu hawapendi ujinga hahaahKwahiyo alikua anacheza kwa kutetemeka labda ndio style mpya
Kiba kashazoea kuimba live na ana sauti nzuriSauti mbaya sijapata kuona...
Ali Kiba amefunika mbaya mno...Sikutegea kama angeimba vizuri vile utadhani CD....
Kwa Kifupi MTV alikiba katuwakilisha vilivyo...Diamond vurugu tupu