MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

ila leo kitu nilichokuja kugundua kwenye hizi tuzo ni kuwa panapo DAVIDO, WIZKID hapindui...ukiangalia kwa undani utagundua kuwa wizkid kaipata hii tuzo kwa sababu davido kiboko yake hayupo kwenye nomination this year, laiti davido angekuwa nominated angeisikia kwenye mike tu hii tuzo...amshukuru sana davido na Sony kumuwachia gap msimu huu...
basi davido co mpinzani kabisa..
davido alikua skelewuu
sio saivi
 
Raymond nae Vp category yake? [HASHTAG]#BestBreakthroughAct[/HASHTAG]
 
Diamond kilichomuumiza kukosa tuzo siunajua msanii wa tuzo hvo kaharibu sana
Ingetakiwa ajiandae kiakili kwenye mashindano kuna mawili, kushinda na kushindwa, mi nilivoona ataimba live nilikua na wasiwasi kweli na performance yake hafu he was like sad
 
Watu mnalalamika sijui team kiba, wema, joketi upuuzi mtuupu (platnumz alichukua mtv EMA na timu hizo hizo plus timu lowasa) , ila wasanii watanzania wajitahidi watoe album naona international wanatizama sana album kuliko single, la sivyo watafeli na hizi timu zinaeffect kila upande usizan zinaeffect tu upande wa DAI.
 
Back
Top Bottom