Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Kipindi kile timu yak ilikua active tofauti na zama za kipindi kile team zikiwa active. Sijui lowasa toka lini alikua na timu za kisanii?Watu mnalalamika sijui team kiba, wema, joketi upuuzi mtuupu (platnumz alichukua mtv EMA na timu hizo hizo plus timu lowasa) , ila wasanii watanzania wajitahidi watoe album naona international wanatizama sana album kuliko single, la sivyo watafeli na hizi timu zinaeffect kila upande usizan zinaeffect tu upande wa DAI.