MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Hivi Ali Kiba alikwenda na Mashabiki South....?
Mbona alishangiliwa sana....

Diamond ni kama watu walitaka amalize haraka maana alikuwa anapigia kelele .Pamoja na Yemi Alade kupaisha kwa intro ya nguvu ila watu walikuwa kama wamemwagiwa maji...
 
Oyaaaaaaa!! Kama watu hamuelewi kinachoendelea pigeni kimya.. Mnaanza kuandika barua za maombolezo sijui tanzania tumeambulia patupu sijui nini nini..

Bado category mbili!
Leo lazima tung'are aisee..
Labda Artist of the year wamPe Nassibu Abdul.
 
Diamond hatashinda artist of the year song of the year saut sol sidhan ushindan mkubwa
 
Najivunia nimewapigia kura wasanii wote wa Tanzania walioingia kwenye Mtv MAMA pamoja na Sauti sol.
Kukosa na kupata yote ni majaliwa, wasanii ongezeni juhudi katika kufanya kazi bora za kimataifa na mashabiki tusibweteke kuacha kuwapigia kura wasanii wetu.
.....niwatakie usiku mwema....
 
Oyaaaaaaa!! Kama watu hamuelewi kinachoendelea pigeni kimya.. Mnaanza kuandika barua za maombolezo sijui tanzania tumeambulia patupu sijui nini nini..

Bado category mbili!
Leo lazima tung'are aisee..
Category mbili zipi tena!?
 
Japokuwa Ali Kiba hajapata Tuzo ila ameimba vizuri...Ametendea haki mashabiki...

Daimond alikuwa anatetemeka kama ana schizophrenia ya mdomo..Play back ya CD ipo mbele yeye na sauti ya mitetemeko yupo nyuma....Aliniudhi sana...

Ameng'ang'ana na kucheza....Sikuelewa Diamond ni yupi na Dancers ni wapi...Ni vurugu tupu.....

MTV awards japokuwa wasanii wetu hawajashinda ila Ali Kiba kafunika...
Ingekuwa ni muziki wa live kama anaopigiwa wizkid hapo si ndio angejiharishia kabisa
 
Back
Top Bottom