Page 94
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 5,204
- 15,207
Hakuna aliyechuku hata moja mpaka sasaTujuzeni, wengine tupo mbali na runinga...alikiba na diamond nani kachukua tuzo nyingi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna aliyechuku hata moja mpaka sasaTujuzeni, wengine tupo mbali na runinga...alikiba na diamond nani kachukua tuzo nyingi?
Alikiba ndo nàniTujuzeni, wengine tupo mbali na runinga...alikiba na diamond nani kachukua tuzo nyingi?
atachukua wizkid hiyohivi hiyo category iloyobakia akichukua Mondi hizi coment zenu mtafuta au?
Na ile mitetemeko ya sauti ...? Hivi uliona ukumbi ulivyotulia..?Wabongo hatuthamini vya kwetu.. Ili mradi tu waponde!!
Diamond kafanya moja ya shoo bora usiku wa leo
Pale ni jukwaani! They are neither singing nor dancing. It is all about perfomingndo tofauti ya dancer na singer,si umeona sauti sol na ali kiba walivyoimba????au huwezi judge mwenyewe
Hahahahhahahhah team in blood haonagi makosaWabongo hatuthamini vya kwetu.. Ili mradi tu waponde!!
Diamond kafanya moja ya shoo bora usiku wa leo
Watu wachache tunaoujua muziki hatuwezi kustand kutetea upuuzi kwa sababu ya utaifa.Ali ana udhaifu wake sehemu zingine but vocally + musically yuko hatua kadhaa mbele kwa diamond.Ningekuwa na yai viza ningemrushia Diamond usoni....
Is the worst performance I've ever seen kwa mtu anayesifiwa kila kona ya nchi
Yule aliyesifiwa sanaa na bet,,mtv na kushangiliwa na wengi kwenye perfomance japo kakosa tuzoAlikiba ndo nàni
mimi zinanipunguzia stress,mimi nitakuwa wa mwisho kuondoka humucomments za humu naona zinaendelea kuniumiza t
usiku mwema bandugu
Mkuu, tumekusikia, tumekuelewa.. Man fongo ana sauti nzuri kuliko mondi!Na ile mitetemeko ya sauti ...? Hivi uliona ukumbi ulivyotulia..?
Kweli tupu...Na hili nimelithibitisha leo kwenye hizi Tuzo...Watu wachache tunaoujua muziki hatuwezi kustand kutetea upuuzi kwa sababu ya utaifa.Ali ana udhaifu wake sehemu zingine but vocally + musically yuko hatua kadhaa mbele kwa diamond.
agza biaaWatu wachache tunaoujua muziki hatuwezi kustand kutetea upuuzi kwa sababu ya utaifa.Ali ana udhaifu wake sehemu zingine but vocally + musically yuko hatua kadhaa mbele kwa diamond.
Nipo kwa ajli ya kukupa like zangu unawapa dose sawa sawa na uzito wao[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hakuwa nominated icho kipengele
Ndo yule aliye imbaga usiniseme kama napenda kula??Yule aliyesifiwa sanaa na bet,,mtv na kushangiliwa na wengi kwenye perfomance japo kakosa tuzo