MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Wabongo bwana mngekuwa mnangaliaga KORA awards miaka ya nyuma (show ya werrason, felix wazekwa au academic, extra musica hawa wote hawakuwa na time ya kuimba miuno tu kwenda mbele) ungeelewa kwa nn diamond kwa nn kafanya vile na ndio maana BET Africa wamesalute to him
 
Pole sana mkuu ila soma walichoandika BET africa
View attachment 422620
Hakuna mtu anayebisha kwamba diamond ana ari,uwezo na maandalizi mazuri ya jukwaa but kama umefuatilia watu kinachowachefua ni uwezo wake mdogo wa uimbaji awapo jukwaani.Kiufupi Diamond ni msanii wa studio na mtumbuizaji mzuri wa jukwaani.
 
1477171935010.png

kuna mtu alijaribu tena kuchezea microphone ya ali kiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wabongo bwana mngekuwa mnangaliaga KORA awards miaka ya nyuma (show ya werrason, felix wazekwa au academic, extra musica hawa wote hawakuwa na time ya kuimba miuno tu kwenda mbele) ungeelewa kwa nn diamond kwa nn kafanya vile na ndio maana BET Africa wamesalute to him
mauno[emoji23][emoji23]
 
Naomba kuuliza wana jf mnaojua hivi Diamond alikuwa anashindanishwa na wasanii wengine katika vipengele vingapi?
 
Back
Top Bottom