mwasipenjele
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 771
- 450
Mtv mama au mtv ema[emoji3]Finally tumechukua tuzo kubwa zaidi kwa usiku huu...Ally kiba artist of the year...tumeondoka na 1.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtv mama au mtv ema[emoji3]Finally tumechukua tuzo kubwa zaidi kwa usiku huu...Ally kiba artist of the year...tumeondoka na 1.
My woman my everything my woman my everythingsong of the year mzk gani
nani wengne walishirikMy woman my everything my woman my everything
hawaitoi tulaleNgoja tusubiri hii ya mwisho
Patoranking, wande coal - My Womansong of the year mzk gani
Hakuna mtu anayebisha kwamba diamond ana ari,uwezo na maandalizi mazuri ya jukwaa but kama umefuatilia watu kinachowachefua ni uwezo wake mdogo wa uimbaji awapo jukwaani.Kiufupi Diamond ni msanii wa studio na mtumbuizaji mzuri wa jukwaani.Pole sana mkuu ila soma walichoandika BET africa
View attachment 422620
mauno[emoji23][emoji23]Wabongo bwana mngekuwa mnangaliaga KORA awards miaka ya nyuma (show ya werrason, felix wazekwa au academic, extra musica hawa wote hawakuwa na time ya kuimba miuno tu kwenda mbele) ungeelewa kwa nn diamond kwa nn kafanya vile na ndio maana BET Africa wamesalute to him
Yan humu kuna vitukokinachoniumiza kichwa n umeme ikikatika huko kibakuli anaweza asimuone baraka maana giza ni mtihan kumtafuta
Sauti Sol ft Ali - unconditionally baenani wengne walishirik
Saut sol unconditional bybnani wengne walishirik