MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Wabongo bwana mngekuwa mnangaliaga KORA awards miaka ya nyuma (show ya werrason, felix wazekwa au academic, extra musica hawa wote hawakuwa na time ya kuimba miuno tu kwenda mbele) ungeelewa kwa nn diamond kwa nn kafanya vile na ndio maana BET Africa wamesalute to him
Wamesalute au weponda ""hell perfomance" wake ya ass up nigga
 
Japokuwa Ali Kiba hajapata Tuzo ila ameimba vizuri...Ametendea haki mashabiki...

Daimond alikuwa anatetemeka kama ana schizophrenia ya mdomo..Play back ya CD ipo mbele yeye na sauti ya mitetemeko yupo nyuma....Aliniudhi sana...

Ameng'ang'ana na kucheza....Sikuelewa Diamond ni yupi na Dancers ni wapi...Ni vurugu tupu.....

MTV awards japokuwa wasanii wetu hawajashinda ila Ali Kiba kafunika...
Taratibu Buana

Watu wasije sema Kiba Mchawi
 
ila leo kitu nilichokuja kugundua kwenye hizi tuzo ni kuwa panapo DAVIDO, WIZKID hapindui...ukiangalia kwa undani utagundua kuwa wizkid kaipata hii tuzo kwa sababu davido kiboko yake hayupo kwenye nomination this year, laiti davido angekuwa nominated angeisikia kwenye mike tu hii tuzo...amshukuru sana davido na Sony kumuwachia gap msimu huu...
Asaiv davido hana ngoma yakumtetemesha wizkid
 
Wabongo bwana mngekuwa mnangaliaga KORA awards miaka ya nyuma (show ya werrason, felix wazekwa au academic, extra musica hawa wote hawakuwa na time ya kuimba miuno tu kwenda mbele) ungeelewa kwa nn diamond kwa nn kafanya vile na ndio maana BET Africa wamesalute to him
Ni hivi..Angechagua moja..Aacha play back ya CD iendelee kuimba na yeye aendelee kusakata rumba...Ingekuwa powa zaidi
 
Back
Top Bottom