MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Yani watu humu wanaleta u team wa kijnga jnga kila kitu ni kupinga tu,hao wasanii wetu wameenda kuwakilsha taifa letu
Wanapokosea pia tuwarekebishe ili waboreshe sanaa yao, kwa mfano diamond alienda kuimba au kucheza pale? Kama alilipwa kwa lengo la kufanya vyote, sidhani kama amewatendea haki watazamaji na waliomlipa ujira.Ilikuwa haijulikani muimbaji ni nani na dancers ni wakina nani kwani alikuwa amefocus na kudance huku muziki ulio nyuma ukimbeba.
 
Yote kwa yote kuchaguliwa kwenye vipengele kwa wabongo wote hao mie ni furaha kwangu....
Wahakikishe kila mwaka wapo huko kuna mwaka usio na jina wote watalamba tuzo kama wanaija walivyometameta leo
 

Ila hakukamilika as PSquare hawakuwemo, so kajitahidi. Au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…