MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Diamond ajifunze kitu kimoja tu, kuwa familia isiingilie maisha ya anayofanya.

Alichofanya mama yake na dada yake juu ya Zari kilimpotezea mashabiki wa kufa nae wengi tu. I mean wale wa kusema pia lazima wampigie kula.

It's about time mama yake akae pembeni, yaani hata kwa social media atoke.

Ila naona wamekaa kimya sijakutana na drama, bali wamechangia kumpotezea mashabiki.

Please nielewe nasema hivi si tu sababu ya kukosa tuzo but kwa mbeleni pia.
 
hamna cha maana ulichokiandika
 
kweli mkuu diamond hawezi kushinda hizi tuzo maana hapa bongo ana kura chache sana nadhani ni wakati wa kujifunza kuweka muziki wake mbali na mapenzi
Apige kazi haswa, mambo ya vijembe kwenye instagram aache..amwambie na zari wake kabisa na hao dada zake, yani kazi kazi..awe anapost kazi zaidi na sio vijembe sjui bulshits bulshits za namna gani aachane nazo..
 
Kaka yani angepata jamaa wangemtukana sana Ali hawa....Yani kusingekalika.....Wacha nisubiri hizi timu zife ndo ntaweza kuziconsider kama tuzo zinakuja tz....otherwise, wakose tu
Kwa hzo team kufa itachukua mda coz baadhi ya wasanii wenyewe ndo wanaziFund kwenye sherehe zao wanaenda na wengine wanatoa had ela wanawapa hao viongoz wa mateam wawatukane wasanii wengine... Hii ndo Tz bhna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…