MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Mmesahau km mondi alishinda mwaka jana. Mwaka huu kisa kashindwa, ushindi wa mwaka jana unasahaulika na misababu kibao.
 
Apige kazi haswa, mambo ya vijembe kwenye instagram aache..amwambie na zari wake kabisa na hao dada zake, yani kazi kazi..awe anapost kazi zaidi na sio vijembe sjui bulshits bulshits za namna gani aachane nazo..
yule davido amezaa na mdada flani hivi ila huwezi mkuta kampost akitukana mitandaoni hata kina p square wameishi na wale wake zao long sana ila hawakuwa wanaonekana saana kujibizana na mafans wa waume zao mitandaoni.ila utashangaa huyu zari kila siku vijembe mateam ya ajabu hadi anamuharibia mwenzie.yaani diamond angetulia yeye kama yeye angefika mbali zaidi. zari kila siku anatukana watu unadhani watapiga tena kura kwa diamond? si unajua wanawake tulivo mkuu?
 
Sidhan km hyo ni sababu. Kny ushindan kuna kupata n kukosa n wiz angeshindwa mfano kungekua n sababu gani?
 
mama yake hana shida yoyote ila yule mwanamke na account zake feki za kumtukana wema na hamisa zitamkost maisha.siku akikaa pembeni mond atakaa zake salama kama zamani
 
Ndo kama nilivosema hapo kwamba amchane live huyo zari wake kwamba bwana eeh saivi kazi tu mambo ya ujinga sitaki, huezi off you go...
 
As kama mnamtukana yy atulie2
 
Updates zimeota mbawa....
 
wizkid kapigiwa kura nyingi tu huku bongo.unajua hilo lakini?
Hiyo ni kawaida tu km kilivyokua kipindi cha vote 4 davido. Zari sio sababu hyo nakataa. Familia yake inahusikaje n upigaji kura??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…