BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Hahahah...si ndo yule aliemba chorus " i got a million dollar huuh huuh huuh"Angalia show ya kufa mtu ili tumshauri yule aliyetetemeka techniques[emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah...si ndo yule aliemba chorus " i got a million dollar huuh huuh huuh"Angalia show ya kufa mtu ili tumshauri yule aliyetetemeka techniques[emoji1]
Mnapopata huwa mnaona zinafaa?Kukosa kwetu wala sio tatizo ila jina la hizi tuzo liwe south africa and nigeria mtv awards..
yule davido amezaa na mdada flani hivi ila huwezi mkuta kampost akitukana mitandaoni hata kina p square wameishi na wale wake zao long sana ila hawakuwa wanaonekana saana kujibizana na mafans wa waume zao mitandaoni.ila utashangaa huyu zari kila siku vijembe mateam ya ajabu hadi anamuharibia mwenzie.yaani diamond angetulia yeye kama yeye angefika mbali zaidi. zari kila siku anatukana watu unadhani watapiga tena kura kwa diamond? si unajua wanawake tulivo mkuu?Apige kazi haswa, mambo ya vijembe kwenye instagram aache..amwambie na zari wake kabisa na hao dada zake, yani kazi kazi..awe anapost kazi zaidi na sio vijembe sjui bulshits bulshits za namna gani aachane nazo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa mtv mbwa wote pumbavu
Sidhan km hyo ni sababu. Kny ushindan kuna kupata n kukosa n wiz angeshindwa mfano kungekua n sababu gani?yule davido amezaa na mdada flani hivi ila huwezi mkuta kampost akitukana mitandaoni hata kina p square wameishi na wale wake zao long sana ila hawakuwa wanaonekana saana kujibizana na mafans wa waume zao mitandaoni.ila utashangaa huyu zari kila siku vijembe mateam ya ajabu hadi anamuharibia mwenzie.yaani diamond angetulia yeye kama yeye angefika mbali zaidi. zari kila siku anatukana watu unadhani watapiga tena kura kwa diamond? si unajua wanawake tulivo mkuu?
mama yake hana shida yoyote ila yule mwanamke na account zake feki za kumtukana wema na hamisa zitamkost maisha.siku akikaa pembeni mond atakaa zake salama kama zamaniDiamond ajifunze kitu kimoja tu, kuwa familia isiingilie maisha ya anayofanya.
Alichofanya mama yake na dada yake juu ya Zari kilimpotezea mashabiki wa kufa nae wengi tu. I mean wale wa kusema pia lazima wamapigie kula.
It's about time mama yakr akar pembeni, yaani hata kwa social media atoke.
Ila naona wamekaa kimya sijakutana na drama, bali wamechangia kumpotezea mashabiki.
Please nielewe nasema hivi si tu sababu ya kukosa tuzo but kwa mbeleni pia.
Ndo kama nilivosema hapo kwamba amchane live huyo zari wake kwamba bwana eeh saivi kazi tu mambo ya ujinga sitaki, huezi off you go...yule davido amezaa na mdada flani hivi ila huwezi mkuta kampost akitukana mitandaoni hata kina p square wameishi na wale wake zao long sana ila hawakuwa wanaonekana saana kujibizana na mafans wa waume zao mitandaoni.ila utashangaa huyu zari kila siku vijembe mateam ya ajabu hadi anamuharibia mwenzie.yaani diamond angetulia yeye kama yeye angefika mbali zaidi. zari kila siku anatukana watu unadhani watapiga tena kura kwa diamond? si unajua wanawake tulivo mkuu?
As kama mnamtukana yy atulie2yule davido amezaa na mdada flani hivi ila huwezi mkuta kampost akitukana mitandaoni hata kina p square wameishi na wale wake zao long sana ila hawakuwa wanaonekana saana kujibizana na mafans wa waume zao mitandaoni.ila utashangaa huyu zari kila siku vijembe mateam ya ajabu hadi anamuharibia mwenzie.yaani diamond angetulia yeye kama yeye angefika mbali zaidi. zari kila siku anatukana watu unadhani watapiga tena kura kwa diamond? si unajua wanawake tulivo mkuu?
wizkid kapigiwa kura nyingi tu huku bongo.unajua hilo lakini?Sidhan km hyo ni sababu. Kny ushindan kuna kupata n kukosa n wiz angeshindwa mfano kungekua n sababu gani?
anaelianzisha nani? mfano juzi alivokuwa anamrushia kashfa hamisa .good thing hamisa hakumjibu hata .kilichomfanya asikae kimya ni nini? ana nyumba hapa bongo huyo zari?As kama mnamtukana yy atulie2
Nilisema huku angekosa tuzo yeye na wizkid ningeshaaKuna Technomiles huko nae ss ana 120 speed
Ivi wizkid ndohuyu kiba alisema nimkubwa kuliko yy?wizkid kapigiwa kura nyingi tu huku bongo.unajua hilo lakini?
Updates zimeota mbawa....Leo ndo siku ya utoaji wa tuzo za MTV Mama mwaka 2016 , tuzo hizo zitatolewa nchini Afrika Kusini
Wasanii mbalimbali kutoka Africa wakiwania tuzo hizo.
Tanzania tuna wasanii wetu wakituwakilisha ambao ni...
Raymond - Best breakthrough act
Vanessa Mdeee - Best female artist
Ali Kiba anashare na Sauti sol - Best collabo na song of the year
Navy Kenzo - Best group
Diamond Platnumz - Best male na Artist of year
Ali Kiba na Diamond ni miongoni mwa watumbuizaji kwenye tuzo hizo.
Wale wenye ving'amuzi Dstv kama kawaida, Azam tv nao watakuwa live kupitia azam 1 channel namba 101.
Pia tutaleta updates hapa hapa kila kinachoendelea , zitaanza kutolewa kuanzia majira ya saa 4 usiku kwa muda wa Afrika Mashariki.
Tuzo za mwaka huu zimetengenezwa na Gold ya kuvutia
View attachment 422249
Hiyo ni kawaida tu km kilivyokua kipindi cha vote 4 davido. Zari sio sababu hyo nakataa. Familia yake inahusikaje n upigaji kura??wizkid kapigiwa kura nyingi tu huku bongo.unajua hilo lakini?
KashindaUpdates zimeota mbawa....